Athuman Mtulya on Muck Rack

Athuman Mtulya

Verified
Dar es Salaam, Tanzania
Senior Reporter — The Citizen (Tanzania)

Senior Reporter @TheCitizenTZ | HUSBAND| DAD|@ManUtd @SimbaSC | MSWAHILI HASWAA | LAST-BORN| I'm only human!

Search Tweets

Twitter Feed

@mtulya — 326 followers, 1,312 tweets

Jun 23, 2017

@Tarek_Peace @MariaSTsehai @littlebahati Tukiwalea vizuri watoto wakike&wakiume tutapunguza tatizo. Ikitokea bahati mbaya wasikatishwe shule

Jun 23, 2017

Zanzibar wanaruhusu mabinti kuendelea na skuli baada ya kujifungua, Bara marufuku. Je, ruhusa imeongeza mimba @allysalehznz @IsmailJussa?

Jun 23, 2017

RT @Udadisi: Elimu ya ukombozi Alinena Malim Julasi Ni ya ukuzi Hii ya ubaguzi Lo ina kisasi Au ndo kazi? Mtoto mpe ujuzi Na si Masii Huo ni ukombozi

Jun 23, 2017

RT @awamisammy: Apparently, the ruling party #CCM's manifesto is in favor of allowing teen mothers to go back to school #Tanzania https://t.co/jcnMLisCsZ

Jun 23, 2017

RT @IssaShivji: Jamii inayomzuia mjamzito Elimu inamdhalalisha kila mama na mtoto.Mjamzito ni mamatarajiwa.Anastahili heshima ya mama na huduma ya mjamzito.

Show more