Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data Chanzo cha picha, Sunil Puniya Maelezo ya picha, Sunil Puniya alikuwa amelala wakati wa shambulio hilo Maelezo kuhusu taarifa Author, Kayleen Devlin Nafasi, BBC Verify na Author, Phoebe Keane Nafasi, BBC News Iliyochapishwa Dakika 3 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 "Nilisikia meli nzima ikitikisika. Mwanzoni nilidhani injini imekumbwa na hitilafu.