Alphas Arap Lagat on Muck Rack

Alphas Arap Lagat

Verified
Kenya
Covers:  Sports News.
Doesn't Cover: Investigative journalism.
Journalist by profession. I am the eye, ear and nose of the public. An invincible and a mustard seed man. @KapuLaMichezo @LibraNewsonline

Alphas Arap Lagat’s Journalist Portfolio

View as a grid

Jopokazi la kushughulikia mizozo ya ardhi Nairobi lazinduliwa - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Jaji Mkuu Martha Koome leo Jumanne alizindua jopokazi litakaloshughulikia kesi za mashamba katika Kaunti ya Nairobi. Jopokazi hilo linajumuisha washikadau kutoka sekta ya haki kuhusu ardhi. Limepewa jukumu la kutambua vyanzo vinavyosababisha changamoto za kupata haki katika kesi za mashamba na kushughulikia changamoto za kimfumo.

Wakazi wa Turkana wahimizwa kutunza maeneo Chepechepe - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Gavana wa kaunti ya Turkana Jeremiah Lomurkai, ametoa wito wa utunzaji bora wa maeneo maeneo chepechepe, ili kuimarisha uwezo wa maeneo hayo kuwa chanzo cha maisha yao na kuboresha viumbe hai. Akipongeza juhudi ambazo zimechukuliwa katika kuzuia athari za mabadiliko ya tabia nchi na serikali katika upanzi wa miti, Gavana huyo alisisitiza kujitolea kwake katika [...]

Jopokazi la kushughulikia mizozo ya ardhi Nairobi lazinduliwa - KBC Radio Taifa

Jopokazi la kushughulikia mizozo ya ardhi Nairobi lazinduliwa - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Jaji Mkuu Martha Koome leo Jumanne alizindua jopokazi litakaloshughulikia kesi za mashamba katika Kaunti ya Nairobi. Jopokazi hilo linajumuisha washikadau kutoka sekta ya haki kuhusu ardhi. Limepewa jukumu la kutambua vyanzo vinavyosababisha changamoto za kupata haki katika kesi za mashamba na kushughulikia changamoto za kimfumo.

EPRA: Kampuni ya gesi ya Embakasi ilihudumu bila leseni - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Mamlaka ya kudhibiti Kawi nchini (EPRA), imefichua kuwa kampuni iliyohusika katika mlipuko wa gesi eneo la Embakasi Alhamisi usiku, iliendesha shughuli zake bila leseni. Kwa mujibu wa EPRA, kampuni hiyo ilituma maombi ya kupewa kibali cha kujenga kiwanda cha gesi mara tatu, tarehe 19 mwezi Machi, tarehe 20 mwezi Juni na tarehe 31 mwezi Julai, [...]

Idadi ya waliofariki katika mkasa wa moto Embakasi yaongezeka - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Idadi ya waliofariki katika mkasa wa moto uliotokea Embakasi Jiji Nairobi, imeongezeka hadi watu watatu. Akithibitisha hayo alipozuru eneo la mkasa Ijumaa asubuhi, msemaji wa serikali Isaac Mwaura, alidokeza kuwa idadi ya majeruhi pia imeongezeka kutoka 222 hadi 280. "Awali tulikuwa na vifo viwili lakini sasa watu watatu wamefariki.

Kenya Broadcasting Corporation

Kenya Broadcasting Corporation

Kenya Broadcasting Corporation

Kenya Broadcasting Corporation

Mwanafunzi afariki katika ajali Soy - KBC Radio Taifa

Kenya Broadcasting Corporation — Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi ya St. Monica katika kaunti ndogo ya Likuyani kaunti ya Kakameg, alifatiki baada ya kugongwa na tinga tinga ya kubeba miwa Jumatano jioni. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Otiende, eneo la Soy. Kulingana na chifu wa eneo hilo Boniventure Lugado, wanafunzi walikuwa wakielekea nyumbani kutoka [...]

Manchester United: Ronaldo atemwa nje ya kikosi dhidi ya Chelsea.

alphaslagat.com — Cristiano Ronaldo ametemwa nje ya kikosi cha Manchester United kitakachosafiri Stamford Bridge kucheza na Chelsea Jumamosi inayokuja baada ya kuondoka uwanjani kabla ya mechi dhidi ya Tottenham kukamilika siku ya Jumatano. Ronaldo alikosa kushirikishwa kwenye kikosi cha kwanza lakini akawa wa akiba na hata kukosa kucheza kwenye mechi hiyo.

Ligi ya English Premier League: Manchester United yapoteza huku Brentford ikiwatuliza Leicester.

alphaslagat.com — Kocha mpya wa Manchester United Erik ten Hag amepoteza mechi yake ya kwanza ya EPL Old Trafford dhidi ya Brighton kwa mabao 2 - 1 siku ya Jumapili. Pascal Gross alifungia Brighton mabao yote mawili katika kipindi cha kwanza huku United wakijiliwaza na bao la kujifunga la Alexis Mac Allister.

Ligi ya English Premier League: Erling Haaland ang'aa kuipa Manchester City ushindi ugani London.

alphaslagat.com — Sajili mpya wa Manchester City Erling Haaland alitangaza ujio wake kwenye ligi ya EPL kwa kufunga mabao mawili kusaidia timu yake kushinda West Ham 2 - 0 uwanjani London Stadium siku ya Jumapili. Mshambulizi huyo wa taifa la Norway alifunga bao la kwanza katika dakika ya 36 kwa njia ya penalti alipoangushwa na kipa wa...

Coastal Union FC: Wachezaji ambao wameandikisha mkataba dirisha hili la uhamisho.

alphaslagat.com — Hawa ni wachezaji ambao wameandikisha mkataba mpya na Coastal Union kwenye dirisha hili la uhamisho hadi sasa kwa minajili ya msimu ujao wa 2022/23. Timu hii iliyomaliza katika nafasi ya saba kwenye ligi ya NBC na kufika fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) wametia mkataba na wachezaji sita.

FIFA: Kenya yaondolewa marufuku ya kutocheza soka ya kimataifa.

alphaslagat.com — Shirikisho la kandanda duniani (FIFA) limeondoa marufuku iliyoipa Kenya ya kutoshiriki soka ya kimataifa baada ya serikali kuingilia FKF mwaka uliopita. FIFA imedhibitisha hayo kupitia barua iliyoandikwa na katibu mkuu Fatma Samoura kwa Shirikisho la kandanda nchini Kenya hususan kwa Afisa Mtendaji Barry Otieno siku ya Jumatatu.

Cristiano Ronaldo: Mshambulizi huyu kuondoka Manchester United kwa makubaliano.

alphaslagat.com — Manchester United imedhibitisha siku ya Jumanne kuwa mshambulizi Cristiano Ronaldo ataondoka klabu hiyo mara moja kwa makubaliano ya pamoja baada ya kusitisha mkataba wake. United ilisema hayo kupitia ujumbe kwenye mtandao wake. Uamuzi huo umetokana na matamshi ya Ronaldo aliyotoa kwenye mahojiano na Piers Morgan kwenye runinga ya Talk TV juma lililopita hususan siku ya...

Kombe la Dunia 2022: Uholanzi yasajili ushindi dakika za lala salama.

alphaslagat.com — Uholanzi imefunga mabao mawili katika dakika za lala salama kusajili ushindi wa 2 - 0 dhidi ya Senegal kwenye mechi ya kundi A ya Kombe la Dunia Qatar 2022 iliyochezwa uwanjani Al Thumama. Mechi hiyo ilionekana kuishia sare ila Frenkie de Jong akafanya kweli kwa kutuma mpira ndani ya sanduku la Senegal akiwa upande wa...

Kombe la Dunia 2022: Valencia ang'aa kusaidia Ecuador kushinda Qatar.

alphaslagat.com — Mshambulizi Enner Valencia alifunga mabao mawili kusaidia Ecuador kushinda Qatar 2 - 0 kwenye mechi ya ufunguzi ya Kundi A ya Kombe la Dunia Qatar 2022 iliyochezwa uwanjani Al Bayt siku ya Jumapili. Valencia ambaye huchezea klabu ya Fenerbahçe kule Uturuki alifunga mabao hayo katika kipindi cha kwanza.

Karim Benzema: Mshambulizi huyu wa Ufaransa kukosa Kombe la Dunia sababu ya jeraha.

alphaslagat.com — Mshambulizi wa Ufaransa na Real Madrid Karim Benzema atakosa Kombe la Dunia baada ya kupata jeraha la paja akiwa mazoezini kwa minajili ya kujiandaa kwa mashindano hayo. Hayo yamedhibitishwa na shirikisho la Kandanda nchini Ufaransa. "Timu nzima inasikitika kutangaza jeraha la Benzema na inamtakia afueni ya haraka."
Show More