Skip To Main Content
Isack Dickson on Muck Rack

Isack Dickson

(He/Him)
Tanzania
Covers:  1.Climate Change & Environmental Justice 2.Governance, Policy & Accountability 3.Gender Balance/Human Right 4.Media, Technology & Misinformation
Doesn't Cover: 1.Crime & Court Cases 2.Sensational or Unverified News 3.Purely Scientific or Academic Research 4.Entertainment & Celebrity News 5.Business & Stock Market Trends
Leo ♌ WanderWisdom 493151.B.864.B.1491.CSwahili #VoiceOver & MediaPersonally isackdickson11@gmail.com

Isack Dickson’s Journalist Portfolio

View as a grid

AI inavyotumika na namna Tanzania inavyojipanga matumizi salama na yenye tija

AI inavyotumika na namna Tanzania inavyojipanga matumizi salama na yenye tija

Orkonerei Fm Radio — Tanzania inaendelea kuchukua hatua katika matumizi ya Akili Bandia (Artificial Intelligence) kama sehemu ya juhudi za kuimarisha elimu, biashara, huduma za jamii na uchumi wa kidijitali. Makala hii ya sauti inaangazia namna Serikali inavyojenga mazingira ya matumizi ya AI kupitia...

Maasai women turn drought into income through fodder farming in Tanzania

Maasai women turn drought into income through fodder farming in Tanzania

Al Jazeera English — As drought kills livestock, Maasai women are turning drought-resistant grass into animal feed and income.

Kupungua kwa ushoroba wa Kwakuchinja kwatishia uhamaji wa wanyamapori

Kupungua kwa ushoroba wa Kwakuchinja kwatishia uhamaji wa wanyamapori

Mongabay — Ushoroba wa Kwakuchinja, ambao katika toleo la kwanza la mfululizo wa makala kuhusu manufaa ya ushoroba nchini Tanzania, ulielezwa kuleta manufaa makubwa kwa uhifadhi na pia kwa jamii zinazozunguka hifadhi ya Burunge, uko hatarini kutokana na kuendelea kupungua siku hadi siku. Ushoroba huo uko Kaskazini mwa Tanzania, kati ya Hifadhi za Taifa za Tarangire na [...]

Ushoroba wa Kwakuchinja: Manufaa yake kwa Uhifadhi na Jamii Kaskazini mwa Tanzania

Ushoroba wa Kwakuchinja: Manufaa yake kwa Uhifadhi na Jamii Kaskazini mwa Tanzania

Mongabay — Wakati miale ya jua asubuhi ikiangaza wilaya ya Babati kaskazini mwa Tanzania, watoto kutoka kijiji cha Sangaiwe wanapita katika njia zilizopo katikati ya misitu ya asili na kwingine mashambani. Ni umbali isiozidi nusu kilomita kuelekea shule ya Msingi Burunge. Katarina Claudi mwenye umri wa miaka 12, na rafiki yake Magdalena Gabriel ni miongoni mwa wanafunzi [...]

Jinsi Kilimo cha Umwagiliaji Kinavyowawezesha Wanawake Simanjiro Kukabiliana na Ukame

Jinsi Kilimo cha Umwagiliaji Kinavyowawezesha Wanawake Simanjiro Kukabiliana na Ukame

youtu.be — This audio feature explores how women in Simanjiro District, Manyara Region, Tanzania are using small irrigation farming as a tool to adapt to climate change and improve their economic livelihoods. With support and training from TACCEI (Tanzania Conservation and Community Empowerment Initiative), over 100 women have been empowered to transform limited water resources into sustainable food production and income-generating activities.

Sayansi Magazine

Sayansi Magazine

meshascience.org — Sayansi Magazine is a leading science, environment, health, and agriculture journal published by MESHA (Media for Environment, Science, Health and Agriculture) - Africa’s premier association of science journalists and communicators, based in Nairobi, Kenya. Since 2014, the magazine has been the only regular science publication produced by a journalists’ association in the world, featuring in-depth, evidence-based stories on research, innovation, climate change, and development across Africa. In the March 2026 issue (Edition 45, pages 18–19), I wrote this feature story titled “Simanjiro leads Tanzania’s green revolution.” It highlights how 111 women from five villages in Simanjiro, Manyara Region, Tanzania, are driving a climate-smart agriculture revolution. Using irrigation and simple technologies through the TACCEI project, the women have turned arid land into productive vegetable gardens (cabbage, spinach, Chinese cabbage, cassava), generating income, gaining economic independence, improving family nutrition, and building resilience against climate change.

Sayansi Magazine

Sayansi Magazine

meshascience.org — Sayansi Magazine is a leading science, environment, health, and agriculture journal published by MESHA (Media for Environment, Science, Health and Agriculture) — Africa’s premier association of science journalists and communicators, based in Nairobi, Kenya. Since 2014, the magazine has been the only regular science publication produced by a journalists’ association in the world, featuring in-depth, evidence-based stories on research, innovation, climate change, and development across Africa. In the March 2026 issue (pages 29–30), I wrote this feature story titled “Northern Tanzania harnessing fodder science to combat drought.” It profiles women in Terrat, Simanjiro District, who are using rangeland science to fight drought. Through a Pastoral Women’s Council (PWC) project, they are cultivating drought-tolerant fodder grasses (including Maasai love grass and Buffalo grass) on community land. The initiative restores degraded rangelands, stabilises soil, improves water infiltration, and creates a new women-led economy in grass seeds and bales — giving pastoralist families reliable livestock feed, extra income, and greater resilience to climate change.

"Tumeondolewa Mzigo wa Kuni" - Akina Mama wa Terrat Waishukuru Serikali kwa Gesi ya Ruzuku

"Tumeondolewa Mzigo wa Kuni" - Akina Mama wa Terrat Waishukuru Serikali kwa Gesi ya Ruzuku

youtu.be — Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imeanza zoezi la ugawaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku kupitia mpango wa MANJIS. Katika Kijiji cha Terrat, jumla ya mitungi 200 imegawiwa ambapo mwananchi amepata mtungi mmoja kwa gharama ya shilingi 17,500 pekee.

Green Gold on the Rangelands | Jinsi Wanawake wa Kimaasai Wanavyotumia Nyasi Kupambana na Ukame

Green Gold on the Rangelands | Jinsi Wanawake wa Kimaasai Wanavyotumia Nyasi Kupambana na Ukame

youtu.be — This in-depth audio feature explores how Maasai women in Terrat village, Simanjiro District, Tanzania are using fodder farming as a climate adaptation strategy to combat recurrent drought. Following a devastating drought in 2022 that led to the loss of over 92,000 livestock, women have adopted drought-resistant grasses such as Buffalo grass and Maasai love grass to secure livestock feed and generate income.

Kilimo cha umwagiliaji kinavyomnufaisha Bw.Abraham mkaazi wa Simanjiro

Kilimo cha umwagiliaji kinavyomnufaisha Bw.Abraham mkaazi wa Simanjiro

youtu.be — Je, inawezekana kulima na kufanikiwa katika kipindi cha kiangazi na ukame mkali? Jibu ni NDIYO! Katika video hii ya kusisimua, tunakutana na Bwana Abraham, mkulima mwenye bidii ambaye ameigeuza changamoto ya ukame kuwa fursa ya mafanikio kupitia Kilimo cha Umwagiliaji.

Akili Unde: mfariji mpya au tishio liliojificha?

Akili Unde: mfariji mpya au tishio liliojificha?

Orkonerei FM Radio — Kadiri dunia inavyokumbatia teknolojia, matumizi ya akili bandia yamekuwa yakiongezeka miongoni mwa vijana wa vyuo na wafanyabiashara wadogo nchini Tanzania, Wanafunzi wanasema AI imekuwa msaada mkubwa kwenye tafiti na kujifunza, huku wafanyabiashara wakitumia teknolojia hiyo kupanga muda na kusimamia shughuli zao kwa ufanisi.

Wahanga wa bili kubwa za maji Terrat waeleza changamoto

Wahanga wa bili kubwa za maji Terrat waeleza changamoto

Orkonerei FM Radio — Na Isack Dickson Wakazi wa Kijiji cha Terrat, Wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wanakabiliwa na changamoto ya kupokea bili za maji ambazo hazilingani na matumizi yao halisi, huku wakidai kuwa bei hizo ni kubwa na zinawatesa. Baadhi yao wanasema kuwa bili...

Maasai Boma Culture (Utaalii wa Kiutamaduni) Unavyomuingizia Fedha Mzee Jacob Nduya-Simanjiro

Maasai Boma Culture (Utaalii wa Kiutamaduni) Unavyomuingizia Fedha Mzee Jacob Nduya-Simanjiro

youtu.be — Mzee wa Kimila Mzee Jacob Nduya wa Terrat Simanjiro ameufanya Utamaduni wa Jamii ya kimasai kuwa fursa kwa kujenga eneo analotumia kuhifadhi,kuutangaza na kutembelewa likiwa linahistoria za mila na tamaduni za jamii hiyo.

Emboreet sekondari yageuza kinyesi kuwa nishati ya kupikia

Emboreet sekondari yageuza kinyesi kuwa nishati ya kupikia

Orkonerei FM Radio — Shule ya Sekondari Embooreet iliyopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara, inatumia bayogesi inayotokana na kinyesi cha wanafunzi kama chanzo kikuu cha nishati ya kupikia. Teknolojia hiyo, iliyosimikwa na Eclat Foundation kwa kushirikiana na Kamatec ya Arusha, imelenga kupunguza utegemezi wa kuni,...

Umuhimu wa matumizi ya choo bora

Umuhimu wa matumizi ya choo bora

Orkonerei FM Radio — Kwa mujibu wa Ripoti ya Tafiti ya Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria ya Mwaka 2022 yaani (Demographic and Health Survey and Malaria Indicator Survey) imeonesha kuna ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21...

Matumizi ya dawa kiholela: Ni tiba au sumu?

Matumizi ya dawa kiholela: Ni tiba au sumu?

Orkonerei FM Radio — "Niliamka tu asubuhi nikawa ninajisikia vibaya nikaamua kwenda duka la dawa kununuwa dawa za malaria...kumbe ilikuwa UTI" Bi Fatuma Na Isack Dickson Aliamka asubuhi akiwa na maumivu ya kichwa, Akaenda duka la dawa, akaeleza dalili, na kupewa dawa. Bila vipimo,...

'Mwambie Nimesafiri': Wajawazito Terrat wapambana na hali zao

'Mwambie Nimesafiri': Wajawazito Terrat wapambana na hali zao

Radio Tadio — Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni na changamoto kubwa. Kupitia simulizi ya sauti yenye mguso wa...

Sukuro wapanda juu ya mti kupata mawasiliano

Sukuro wapanda juu ya mti kupata mawasiliano

Orkonerei FM Radio — Katika kijiji cha Sukuro kilichopo kata ya Komolo, wilaya ya Simanjiro, mawasiliano ya simu si jambo rahisi. Kila siku, wananchi wa kijiji hiki wanapambana na changamoto ya mtandao hafifu wa simu, hali inayowalazimu kupanda juu ya miti ili kupiga simu au kutuma ujumbe. Katika sehemu nyingine, huduma za kutuma na kupokea pesa, ambazo zinahitaji mtandao, zimegeuka kuwa safari hatari, kwani wakala wa huduma hiyo hulazimika kupanda juu ya mti ili kuhudumia wateja wake.

Migogoro ya ardhi inavyoathiri maendeleo

Migogoro ya ardhi inavyoathiri maendeleo

Orkonerei FM Radio — Kurunzi Maalum Migogoro ya ardhi ni hali ya kutokubaliana au mvutano kati ya pande mbili au zaidi kuhusu umiliki, matumizi, au mipaka ya ardhi. Migogoro hii inaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama vile upanuzi wa shughuli za kilimo na ufugaji,...

Umeme waleta maendeleo kata ya Terrat,Simanjiro

Umeme waleta maendeleo kata ya Terrat,Simanjiro

Orkonerei FM Radio — Nishati ya umeme imeleta mapinduzi makubwa ya maendeleo katika kata ya Terrat, mkoani Manyara. Wakazi wa eneo hili sasa wanashuhudia mabadiliko katika sekta mbalimbali, ikiwemo biashara, elimu, afya, na ajira, tangu kuimarika kwa huduma ya umeme kupitia miradi ya usambazaji wa nishati vijijini.

Kuzifikia huduma za afya kwenye familia ni jukumu la nani?

Kuzifikia huduma za afya kwenye familia ni jukumu la nani?

Orkonerei FM Radio — Nijuze Radio Show. Kwa mujibu wa Sera ya afya ya uzazi ya mwaka 2008 inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake, wanaume na watoto kwa kuzingatia haki za binadamu na uswa wakijisia, sera hii inasisitiza umuhimu wa kuuzuria kilniki kwa...