Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Beldina Nyakeke
Nyumba 400 zabomoka, mmoja afariki mvua zinazoendelea kunyesha Mara
Baadhi ya nyumba zilizobomolewa na mvua za El- nino wilayani Bunda. Muktasari: Mtoto mmoja amefariki dunia huku nyumba zaidi ya 400 zikibomolewa katika wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara kufuatia mvua za El- Nino zinazoendelea kunyesha nchini. Musoma. Mtoto mmoja amefariki dunia huku nyumba zaidi ya 400 zikibomolewa katika wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara kufuatia mvua za El- Nino zinazoendelea kunyesha nchini.
Baba wa IGP Wambura azikwa Musoma, familia yatakiwa kusherehekea
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Rhimo Nyansaho akisaini kitabu cha maomboleza katika msiba wa baba mzazi wa Mkuu wa Jeshi la polisi (IGP), Camilius Wambura, Deusdedit Wambura, mjini Musoma. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Wambura aliyefariki dunia Oktoba 26,2026 jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa zaidi ya miaka 19 amezikwa Leo Jumamosi Oktoba 31, 2026 huku ikielezwa kuwa miongoni mwa magonjwa aliyokuwa nayo ni pamoja na tezi dume,figo na moyo. Musoma.
Tanzanian Home Affairs Minister leads mourners at IGP’s father’s funeral
Musoma. Minister for Home Affairs Patrobas Katambi has led mourners at the funeral of the father of Inspector General of Police (IGP) Camillus Wambura, Mr Deusdedit Wambura, who died aged 100. The deceased, who died on October 26, 2026, in Dar es Salaam after battling illness for more than 19 years, was buried on Saturday, October 31, 2026. He reportedly suffered from prostate, kidney and heart conditions, which required treatment at various hospitals across the country.
El Niño rains kill child, damage over 400 houses in Mara
Musoma. One child has died, while more than 400 houses have been damaged in Bunda and Rorya districts in Mara Region following El Niño rains currently affecting various parts of the country. The report was issued in Musoma on Saturday, October 31, 2026, by Mara Regional Commissioner, Brigadier General Evans Mtambi, while delivering condolence messages at the funeral of Inspector General of Police (IGP) Camillus Wambura's father, Deusdedit Wambura, 100.
Watuhumiwa 40 wa ujangili wanaswa Serengeti ndani ya wiki mbili
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele, akizungumza kwenye mkutano wa ujirani mwema katika kijiji cha Masanga wilayani humo kilicholenga kudumisha mahusiano mema kati ya wakazi wa Kata ya Gorong'a na Hifadhi ya Taifa Serengeti (Senapa). Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Watuhumiwa hao wamekamatwa kupitia doria za mara kwa mara zinazofanyika katika hifadhi hiyo katika kanda ya kaskazini ambayo inapatikana wilayani Tarime Mkoa wa Mara. Tarime.
Kamati ya Mkuu wa Mkoa Mara yabaini madudu usimamizi wa usafi maeneo nyeti
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara wakiwa na kinyago cha fisi walichopewa kama zawadi baada ya halmashauri hiyo kuwa ya mwisho kwenye usafi wa mazingira. Picha na Beldina Nyakeke. Muktasari: Tathmini hiyo imebaini changamoto mbalimbali zinazohusiana na uhifadhi na utupaji wa taka ngumu, zikiwamo takataka kurundikwa katika maeneo yasiyo rasmi, mifereji kujaa makopo na mifumo ya maji taka kutokuwa katika hali nzuri Mara.
More than 40 suspected poachers arrested in Serengeti
Tarime. More than 40 suspected poachers have been arrested in the past two weeks over alleged involvement in illegal hunting in the northern section of Serengeti National Park. The suspects were apprehended during regular patrols in the park’s northern zone, located in Tarime District, Mara Region, and handed over to the police for further action.
Mvua, upepo mkali zabomoa nyumba 360 Bunda, tahadhali ya El-Nino yatolewa
Baadhi ya nyumba zilizobomolewa na mvua za El- nino katika wilaya ya Bunda mkoani Mara. Muktasari: Kutokana na hali hiyo baadhi ya familia zimelazimika kupata hifadhi kwa ndugu, jamaa na marafiki huku Serikali ikitoa msaada wa chakula kwa familia hizo. Bunda. Nyumba zaidi ya 360 zimepata madhara mbalimbali ikiwepo kubomoka kufuatia mvua zilizoambatana na upepo mkali kunyesha katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Mvua ya El-Nino yabomoa nyumba 30 Bunda, RC Mtambi aonya
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, akizungumza na viongozi wa dini mkoani humu kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo tahadhari kuhusu mvua za El- nino. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Hata hivyo hakuna madhara kwa binadamu yaliyotokea huku Serikali ikiwataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kufuatia tishio la mvua za El- Nino. Musoma.
Mitaji, masoko vikwazo kwa vijana kuwekeza kwenye kilimo misitu
Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kongamano la kilimo mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali, sekta ya kilimo misitu bado inakabiliwa na changamoto zinazohitaji ushirikiano wa wadau ili kuongeza uzalishaji na kujenga mnyororo wa thamani. Musoma.
Musoma yaweka lengo la kupanda miti milioni mbili
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Juma Chikoka, akipanda mti katika shule ya Msingi Nyabisare Manispaa ya Musoma kupitia kampeni ya shirika lisilokuwa la Kiserikali la VI Agroforestry. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Zaidi ya miti 250 ya matunda na kivuli imepandwa katika Shule ya Msingi Nyabisare, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, ikiwa sehemu ya mkakati wa Shirika la VI Agroforestry wa kupanda miti 1.5 milioni mwaka 2026. Musoma.
Tanzania launches Sh8.5 billion Serengeti Golf Course to boost tourism
What you need to know: The 18-hole facility, built on 450 acres in Fort Ikoma, aims to integrate conservation, tourism and sports as Tanzania seeks to attract eight million tourists annually by 2030. Serengeti.
Tanapa spends Sh19.6 billion on Serengeti community projects
Serengeti. The Tanzania National Parks Authority (Tanapa) has invested about Sh19.6 billion in 35 development projects over the past five years, as it seeks to improve livelihoods and strengthen community support for conservation.
Tanapa turns Serengeti into a golfing destination
What you need to know: The 18-hole golf course, built on 450 acres near Fort Ikoma, is expected to attract international golfers, diversify Tanzania’s tourism offerings and increase revenue, with 81 players from five African countries expected to participate in its launch tournament. Serengeti.
Wasichana Bunda walalamikia ukosefu wa ushauri
Baadhi ya wanafunzi wa shule tatu za Sekondari wilayani Bunda wakifurahi baada ya kupewa taulo za kike na Shirika la Grumeti Fund. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Wanafunzi wa kike wilayani Bunda wamesema ukosefu wa ushauri kutoka kwa wazazi na jamii unachangia baadhi yao kujiingiza katika mahusiano ya mapema, kupata mimba na kushindwa kuendelea na masomo. Bunda.
Vijana wa kiume watakiwa kupinga ukatili wa kijinsia
Baadhi ya wanafunzi wa kiume wilayani Bunda walioshiriki mdahalo kuhusu ushiriki wa vijana wa kiume katika kumwezesha mtoto wa kike kupambanana changamotombalimbali ikiwemo ukatili wa kijinsia. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Vijana wa kiume wametakiwa kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia ili kuwawezesha watoto wa kike kutimiza ndoto zao, ikiwamo kupata elimu na kushiriki katika shughuli za maendeleo. Bunda.
Young men urged to champion girls’ rights, fight gender-based violence
What you need to know: Young men have been urged to play an active role in ending gender-based violence and empowering girls to achieve their aspirations, including access to education. Bunda. Young men have been urged to take an active role in combating gender-based violence, which continues to undermine girls’ rights and prevent them from achieving their aspirations, particularly in education.
Wachimbaji watatu waokolewa baada ya kufukiwa kwa zaidi ya saa 20
Shughuli ya uokozi ikiendelea katika mgodi wa Ilasaniro wilayani Butiama Muktasari: Wachimbaji hao walikuwa watano, huku jitihada za kuwatafuta wenzao wawili zikiendelea. Waliookolewa wamefikishwa hospitalini kwa uchunguzi na matibabu, baada ya wawili kujeruhiwa kidogo na mmoja kutokuwa na jeraha. Musoma.
Three miners rescued after 20 hours trapped in Mara mine
Musoma. Three small-scale gold miners have been rescued after being trapped underground for more than 20 hours following a cave-in at Ilasaniro Mine in Buhemba, Butiama District, Mara Region. Two others remain missing. The incident occurred on Thursday, October 8, 2026, while the five miners were working inside the pit. Speaking to Mwananchi Digital by phone on Friday, fellow miner Obadia Karume said the workers were carrying out their normal activities when debris suddenly buried them.
Musoma yazalisha tani 32,000 za taka kwa mwaka
Muktasari: Kampeni hiyo ya utoaji wa tuzo za usafi inahusisha utiaji wa tuzo na fedha taslimu kwa shule za umma za Msingi na Sekondari na mitaa itakayofanya vizuri kwenye suala zima la usafi huku wale watakaofanya vibaya wakipewa vinyago. Musoma. Manispaa ya Musoma mkoani Mara inazalisha takribani tani 32,000 za taka kwa mwaka, lakini kati ya hizo ni tani 19,000 pekee zinazokusanywa na kutupwa katika maeneo maalumu kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo upungufu wa vifaa vya usafi.
Gender-based violence lawyer arrested over alleged killing of his girlfriend
Musoma. Police in Mara Region are holding a 28-year-old lawyer with Mama Samia Legal Aid who is accused of killing his girlfriend in an incident believed to have been triggered by jealousy. Keneth Nkiko, a lawyer working with Mama Samia Legal Aid at Musoma District Council, is accused of killing Magreth Richard, 22, a businesswoman and resident of Musoma Municipality.
Adaiwa kumuua mpenzi wake, naye anusurika kujiua Musoma
Muktasari: Baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa huyo aliposti kwenye simu yake akiomba msamaha kwa kitendo hicho kisha kunywa sumu kwa lengo la kujiua. Musoma. Polisi Mkoa wa Mara inamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) ambaye jukumu lake lilikuwa kutoa msaada wa kisheria kwa waathirika wa vitendo ukatili wa kijinsia ambaye anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma.
Mara yatenga Sh345 milioni kukabili El Nino
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akizungumza kwenye kikao cha kamati ya maafa ya mkoa huo. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi amewataka wakazi wa mkoa huo kutumia mvua hizo kwa ajili ya kilimo, hasa mazao ya chakula, ili kuimarisha usalama wa chakula. Musoma.
Klinka kuondolewe kodi kushusha bei ya saruji
Muktasari: Ni agizo la Serikali ambalo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inalifanyia kazi mara moja. Bunda. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imeanza kufanyia kazi maagizo ya Serikali ya kuondoa kodi kwenye klinka, malighafi muhimu katika uzalishaji wa saruji, ikiwa ni hatua ya kuongeza upatikanaji wake na kupunguza gharama za uzalishaji wa bidhaa hiyo.
Waziri Mkuu ataka ripoti ya Takukuru ujenzi wa hospitali Bunda
Baadhi ya wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda wakifuatilia mkutano wa hadhara uliofanyika Nyamuswa na kuhutubiwa na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Mradi wa ujenzi wa hospitali hiyo ya halmashauri ya wilaya ya Bunda iliyopo katika eneo la Bukama ulianza mwaka 2019 ambapo hadi sasa Serikali imetoa zaidi ya Sh5.3 bilioni huku baadhi ya miundombinu ikiwa bado haaijakamilika hadi sasa. Bunda.
Mara yahitaji Sh51 bilioni kujiandaa na wanafunzi 127,000
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akizungumza kwenye kikao cha tathmini ya hali ya elimu na maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza 2028 mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Mkoa waanza maandalizi ya ongezeko la wanafunzi litakalotokana na mabadiliko ya sera ya elimu. Musoma.
JWTZ yasisitiza ufugaji wa samaki kwa vizimba
Vizimba vya kufugia samaki vikiwa ndani ya Ziwa Victoria. Muktasari: Ufugaji huo ulianza kama mradi wa majaribio wa kutafuta njia ya kuzalisha samaki bila kutegemea uvuvi wa asili, wakati Ziwa Victoria likikabiliwa na changamoto ya kupungua kwa samaki. Musoma. Wakati maziwa Victoria, Tanganyika na maeneo mengine nchini yakiwa na vizimba vya kufugia samaki vinavyotoa fursa za ajira na biashara, wachache wanafahamu kuwa safari ya ufugaji huo nchini ilianzia ndani ya uzio wa kijeshi.
Mashirika Mara yaonywa kutegemea ufadhili wa nje
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akizungumza kwenye kikao cha jukwaa la mwaka la mashirika yasiyokuwa ya kiserikali mkoani humo. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Serikali mkoani Mara imewataka wamiliki wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani humo kuwa wabunifu na kutafuta vyanzo mbadala vya fedha hususan vyanzo vya ndani badala ya kutegemea ufadhili kutoka mataifa ya nje hali ambayo inatishia uendelevu wa mashirika hayo. Musoma.
11 mbaroni Mara kwa tuhuma za kamari ya mwendokasi wa pikipiki
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Septemba 28, 2026 Muktasari: Polisi wawakamata Bunda na Musoma; wakutwa hawana leseni licha ya kuwa na mikataba ya bodaboda Musoma. Polisi mkoani Mara inawashikilia vijana 11 kwa tuhuma za kushiriki michezo ya kamari inayohusisha kuendesha pikipiki kwa mwendokasi bila kuzingatia sheria za usalama barabarani.
Heche aitaja Katiba mpya suluhu ya changamoto za Tanzania
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, John Heche, akiwapungia wanachama na wapenzi wa chama hicho waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Musoma. Picha na Beldina Nyakeke. Muktasari: Heche amesema Chadema imebaini kuwa katika mazingira yaliyopo haiwezi kufanikisha mabadiliko hayo, hivyo Katiba mpya ni muhimu ili kuweka mazingira ya ushindani wa haki katika uchaguzi. Musoma.
Wananchi wataka fidia stahiki kupisha mgodi
Maofisa upimaji wa Wizara ya Ardhi wakipima na kutathamini mali za wakazi wa kijiji cha Nyamilama wilayani Tarime, Mkoa wa Mara. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Wananchi wa Kijiji cha Matongo wamesema wako tayari kushirikiana katika suala la kupisha mgodi, lakini wanataka tathmini na malipo vifanyike kwa haki na kuzingatia thamani ya mali wanazomiliki. Tarime.
Agnes Marwa atoa msaada shule ya Azimio
Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Marwa, akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Azimio mjini Musoma, wakati wa mahafali ya 68 ya shule hiyo. Picha na Beldina Nyakeke. Muktasari: Mbunge wa Viti Maalum, Agnes Marwa, ametoa msaada wa tenki la maji, mifuko 20 ya saruji, jezi na mipira kwa Shule ya Msingi Azimio, Musoma, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia. Musoma.
Maganya: Katiba iboreshwe badala ya kuanza upya mchakato
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya akizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma (hawapo kwenye picha). Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Pendekezo lake linakuja wakati Ilani ya CCM ya 2025/30 ikiahidi kuhuisha na kukamilisha mchakato wa Katiba mpya. Musoma. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Fadhili Maganya amependekeza Serikali iboreshe Katiba iliyopo badala ya kuanza upya mchakato wa kupata Katiba mpya.
Safari za ndege zarejea rasmi Musoma baada ya miaka minane
Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) likitua katika uwanja wa ndege Musoma kwaajili ya kuanza safari za abiria katika uwanja huo. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Mara ya mwisho ndege ya abiria kutua katika Uwanja wa Ndege wa Musoma ilikuwa Machi 2018 kupitia Precision Air, kabla ya huduma hiyo kusitishwa. Musoma.
Watanzania watakiwa kuondoa dhana mafunzo ya JKT ni ukatili
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya kijeshi katika kikosi cha 822 cha Rwamkoma wilayani Butiama, Mkoa wa Mara. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Brigedia Jenerali Mtambi amesema mafunzo ya awali ya kijeshi pamoja na mambo mengine yanasaidia katika kujenga urafiki wa Kitanzania na kuepuka ubaguzi wa aina yoyote ikiwepo wa kikanda na kikabila. Butiama.
Mkandarasi barabara Serengeti arudia kazi, atakiwa kuzingatia viwango
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Natta-Ikoma yenye urefu wa kilomita 46 wilayani Serengeti. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Mkandarasi huyo amelazimika kurudia kazi katika kipande chenye urefu wa zaidi ya kilomita saba baada ya eneo hilo kuharibika na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo hata kabla mradi huo haujakabidhiwa Serikali. Serengeti.
Mara yaweka tahadhari machimbo, maeneo hatarishi kabla ya El Nino
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akizungumza kwenye kikao cha Kamati ya Maafa Mkoa wa Mara. Picha Beldina Nyakeke Muktasari: Machimbo ya madini yanayotumiwa na wachimbaji wadogo ni miongoni mwa maeneo muhimu yanayopaswa kupewa kipaumbele ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea kutokana na shughuli hizo katika mazingira yasiyo salama. Musoma.
WanaMara wampongeza RC Mtambi kwa cheo kipya
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi akikata keki katika hafla ya kumpomgeza baada ya kupandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali kutoka Kanali. Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya, ameongoza hafla ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa huo, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, kufuatia kupandishwa cheo kutoka Kanali hadi Brigedia Jenerali.
ATCL kuanza safari za Dar- Musoma Septemba 17
Muktasari: Kurejea kwa safari za ndege za abiria katika uwanja huo kunahitimisha safari ya miaka minane bila usafiri wa ndege za abiria kwa wakazi wa Mkoa wa Mara ,baada ya safari hizo kusitishwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ubovu wa uwanja wa ndege. Musoma.
Elimu ya uhifadhi yapunguza migogoro ya binadamu, wanyamapori
Wachezaji wa timu za mpira wa miguu kutoka vijiji vya Motukeri wilayani Serengeti na Mariwanda wilayani Bunda wakiwa kwenye fainali za mashindano ya Tembo Cup katika kijiji cha Mugeta wilayani Bunda. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Baadhi ya wakazi wa vijiji vinavyozunguka mapori ya akiba ya Grumeti na Ikorongo, wilayani Bunda na Serengeti mkoani Mara, wamesema elimu ya uhifadhi ni nguzo muhimu katika kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori. Bunda.
Mavunde azindua ‘Kesho iliyo njema’ kwa vijana wachimbaji
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde akikata utepe kuzindua ndege maalumu ya mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara kwaajili utafiti wa madini. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Programu hiyo ni hatua ya kimkakati ya Serikali kuwawezesha walengwa kuondokana na uchimbaji wa kubahatisha na kuelekea kwenye uchimbaji wenye tija unaozingatia maarifa, teknolojia na taarifa sahihi za kijiolojia. Tarime.
Mavunde aonya imani za kishirikina migodini
Muktasari: Katika shughuli hiyo, Waziri Mavunde pia amezindua ndege maalumu ya Mgodi wa dhahabu wa Barrick North Mara kwa ajili ya utafiti wa madini huku akiagiza ndege hiyo kufanya utafiti katika mgodi wa wachimbaji wadogo wa Majimoto wilayani Butiama. Tarime. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amewataka Watanzania, wakiwamo wachimbaji, kuachana na dhana kuwa sekta ya madini inaendeshwa kwa ushirikina, akisema hali hiyo inachochewa na uchimbaji wa kubahatisha.
Tanzania Minerals Minister directs mining blocks reserved for youth, women
Tarime. Minerals Minister Anthony Mavunde has urged Tanzanians to abandon superstitions surrounding the mining sector, attributing financial ruin among miners to speculative extraction rather than witchcraft. Speaking in Tarime District, Mara Region, on Monday, August 31, 2026, during the launch of the Building Better Tomorrow–Mining (BBT-M) Programme, Mr Mavunde said the government is deploying scientific exploration to eliminate guesswork.
CAG Kichere azishukia halmashauri tano Mara, atishia...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akizungumza katika mafunzo ya kuwajengea uwezo madiwani wa mkoa wa Mara. Muktasari: Halmashauri zilizopewa agizo hilo ni Musoma Manispaa, Bunda, Serengeti, Rorya na Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, ambazo kwa pamoja utekelezaji wa hoja za ukaguzi upo chini ya asilimia 50. Bunda.
CAG: Halmashauri tano Mara zitekeleze hoja
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere akizungumza katika mafunzo ya kuwajengea uwezo madiwani wa mkoa wa Mara. Muktasari: Halmashauri zilizopewa agizo hilo ni Musoma Manispaa, Bunda, Serengeti, Rorya na Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, ambazo kwa pamoja utekelezaji wa hoja za ukaguzi upo chini ya asilimia 50. Bunda.
RC Mara aagiza uchunguzi matumizi ya fedha za lishe
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa viashiria vya lishe mkoani Mara wakiwa kwenye kikao. Picha na Beldina Nyakeke Muktasari: Uchunguzi huo ambao utafanyika ndani ya mwezi mmoja, pamoja na mambo mengine, unalenga kuchukuliwa hatua kwa wale wote watakaobanika kwenda kinyume cha maelekezo. Musoma.
Sh63.8 billion set aside to boost irrigation farming in Mara Region
Musoma. The government has allocated more than Sh63.8 billion to improve and expand irrigation farming in Mara Region, with part of the funds earmarked for strategic agricultural projects. The allocation in the 2026/27 financial year is also expected to support large and small irrigation projects aimed at empowering smallholder farmers and improving their productivity, as the government seeks to increase their contribution to the economy.
Zaidi ya Sh60 bilioni kuboresha kilimo cha umwagiliaji Mara
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi akielekeza jambo wakati wa ugawaji wa pampu kwa wakulima wadogo kwaajili ya kuboresha kilimo cha umwagiliaji. Picha na Beldina Nyakeke. Muktasari: Fedha hizo zimetengwa ili kuboresha shughuli za kilimo mkoani humo na kuachana na kilimo cha mazoea. Musoma.
Maira azikwa, walimu sita washikiliwa kwa uchunguzi
Muktasari: Maira, aliyekuwa akisoma mchepuo wa PCM, alifariki dunia katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, alikopelekwa baada ya hali yake kuwa mbaya wakati wa adhabu hiyo Musoma. Mamia ya waombolezaji wamehudhuria maziko ya aliyekuwa mwanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Makongoro, Peter Maira (23), aliyefariki dunia Agosti 19, 2026, baada ya kudaiwa kupewa adhabu na walimu kufuatia kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio.
Walengwa 38,903 wa bima ya afya hawajasajiliwa Mara
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, akizungumza katika kongamano la bima ya afya kwa wote lililoandaliwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Chomete. Picha na Beldina Nyakeke. Muktasari: Katika usajili wa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mpango wa bima ya afya kwa wote Mkoa wa Mara ulitarajia kusajili watu 62,444 lakini hadi sasa waliosajiliwa ni watu 23,641 Tarime.
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Beldina
Contact Beldina, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack