Cecil Odongo
Kenya
Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Cecil Odongo
Habari Vizingiti vinavyokabili azma ya useneta ya Winnie Odinga Na CECIL ODONGO October 18th, 2026 Kusoma ni dakika: 2 TANGAZO la Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga kuwa atawania useneta wa Nairobi unatarajiwa kuvuruga muungano wa Linda Mwananchi na upinzani siasa za 2027 zikishika kasi. Seneta wa sasa wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametangaza kuwa hatatetea kiti chake na analenga uongozi wa nchi ili kumwondoa Rais William Ruto.
Owalo sasa kupambana na Ruto 2027 baada ya chama chake cha PPP kusajiliwa rasmi
Habari Owalo sasa kupambana na Ruto 2027 baada ya chama chake cha PPP kusajiliwa rasmi Na CECIL ODONGO October 17th, 2026 Kusoma ni dakika: 2 KIONGOZI wa People’s Prosperity Party (PPP), Eliud Owalo, ametangaza kuwa chama hicho kimepata usajili kamili, hatua inayokiruhusu kutangaza wagombea katika nyadhifa zote za uchaguzi mkuu wa 2027.
Eliud Owalo’s PPP gets full registration, sets sights on 2027 elections Original
People’s Prosperity Party (PPP) leader Eliud Owalo says his focus is now on strengthening the party at the grassroots and nationwide after the political outfit secured full registration. Following the development, PPP is now free to field candidates for all elective positions in the 2027 General Election. Mr Owalo, who intends to seek the party’s presidential nomination, said the Office of the Registrar of Political Parties (ORPP) had issued PPP with a certificate of full registration.
Hussein Mohammed warns Mariga and six ‘rebel’ FKF officials of disciplinary action
Football Kenya Federation (FKF) President Hussein Mohammed said on Wednesday that he had given up on efforts to work with seven National Executive Committee (NEC) members. He warned that they will now face action according to the federation’s constitution.

Katibu wa Wizara anusurika ajali ya helikopta
Uncategorized Katibu wa Wizara anusurika ajali ya helikopta Na CECIL ODONGO October 13th, 2026 Kusoma ni dakika: 1 SHIRIKA la Huduma za Misitu nchini (KFS) jana lilithibitisha kuwa watu wote wanne waliokuwa ndani ya helikopta yake iliyoanguka katika uwanja wa Gofu wa Kericho wako salama, huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Fate Kariobangi Sharks may suffer for crowd violence Original
What you need to know: FKF boss Hussein Mohamed condemned the assault on referee John Sulwe during the promotion/relegation play-off match between Mombasa United and Kariobangi Sharks. Last Tuesday, irate fans alongside members of Kariobangi Sharks technical staff invaded the pitch and attacked Sulwe after he awarded Mombasa United a penalty.
Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila
FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila, uwanjani Migwena, eneobunge la Bondo hapo Alhamisi. Viongozi hao wawili wamekuwa wakishambuliana hadharani, hali inayozua hofu kwamba hafla hiyo inaweza kugeuka uwanja wa mzozo wa kisiasa.
Dilemma over Uhuru role in Raila memorial event
What you need to know: President Ruto and Mr Kenyatta have been engaged in a public war of words, with the President accusing his predecessor of being a “rebel”. A member of the larger Jaramogi family, told the Daily Nation that Mr Kenyatta had been invited as chief guest for the anniversary.
Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila
HabariHabari za KauntiHabari za Kitaifa Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila, uwanjani Migwena, eneobunge la Bondo hapo Alhamisi. Viongozi hao wawili wamekuwa wakishambuliana hadharani, hali inayozua hofu kwamba hafla hiyo inaweza kugeuka uwanja wa mzozo wa kisiasa.
Winnie, Junior rivalry renews Odinga family fight for Raila’s political crown
The political succession question in one of Kenya’s most prominent families has entered a new and delicate chapter, with the symbolic coronation of Winnie Odinga as her late father Raila Odinga’s political heir. The Saturday event has exposed competing currents over who should carry the family name into the 2027 elections, weeks after the veteran opposition leader’s widow, Ida, endorsed her son Raila Odinga Junior for the Kibra parliamentary seat in Nairobi.

Mikakati ya kufaulisha mitihani yakamilika kwa watahiniwa 3.6m
Uncategorized Mikakati ya kufaulisha mitihani yakamilika kwa watahiniwa 3.6m Na CECIL ODONGO October 6th, 2026 Kusoma ni dakika: 1 ZAIDI ya wanafunzi milioni 3.6 watafanya mitihani na tathmini za kitaifa mwaka huu huku serikali ikiweka masharti magumu kukabiliana na udanganyifu na kuhakikisha uadilifu katika mchakato huo.
Mikakati ya kufaulisha mitihani yakamilika kwa watahiniwa 3.6m
ZAIDI ya wanafunzi milioni 3.6 watafanya mitihani na tathmini za kitaifa mwaka huu huku serikali ikiweka masharti magumu kukabiliana na udanganyifu na kuhakikisha uadilifu katika mchakato huo. Waziri wa Elimu Julius Ogamba jana aliwaonya watahiniwa, wasimamizi wa vituo na wasimamizi wa mitihani dhidi ya kukiuka kanuni, akisema watakaopatikana wakifanya udanganyifu watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Oburu’s long break opens fresh battle to control ODM Original
What you need to know: Wycliffe Oparanya, Governor Gladys Wanga and Governor Simba Arati have increasingly taken centre stage in ODM activities. Homa Bay Governor Gladys Wanga has emerged as one of the most visible faces of the party, particularly in Nyanza. A fresh jostling for influence in ODM is emerging as senior leaders move to assert themselves in the party during the prolonged absence of party leader Dr Oburu Oginga from the public eye.
Ubabe ndani ya ODM Oburu akiendelea kukosekana
UBABE wa kudhibiti ODM umeanza kuchipuka huku viongozi wakitumia kutoonekana kwa kinara wa chama hicho Seneta Oburu Oginga katika shughuli za umma, kujijengea ushawishi ndani ya chama. Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya, Gavana wa Kisii Simba Arati na Mwenyekiti wa ODM Gladys Wanga ni miongoni mwa viongozi ambao wamekuwa mstari wa mbele kuendesha shughuli za chama wakati Dkt Oginga bado anaugua.
McCarthy’s tenure as Kenya coach on shaky ground Original
What you need to know: Despite the loss in Conakry, McCarthy, 48, said he was proud of his players for limiting Guinea to a narrow victory. The South African was appointed Harambee Stars coach on March 3, 2025 and has now overseen 19 matches. Is coach Benni McCarthy the right man to take Kenya’s Harambee Stars to the 2027 Africa Cup of Nations finals? Do Kenyan players have the quality to be competitive at their home Afcon in June and July next year?
2027 Afcon qualifiers: No respite for McCarthy as Stars lose to Guinea
Kenya’s poor start in the 2027 Africa Cup of Nations qualifying campaign continued on Thursday evening as the team fell 1-0 to Guinea in Conakry. The Group ‘D’ contest was played at the 25,000-capacity Stade 28 Septembre, and Harambee Stars went into the match on the backdrop of a disappointing 1-1 draw against lowly ranked Eritrea on September 26 at Nyayo National Stadium.

Stars face stern Syli National test
Harambee Stars face a stern test against a higher ranked Guinea side today in their second 2027 Africa Cup of Nations (Afcon) 2027 qualifier, with both teams seeking their first victory in Group “D”. The match will kick off at the 25,000-capacity Stade 28 Septembre in Conakry at 4pm local time (7pm Kenya time). Kenya were held to a 1-1 draw by lowly ranked Eritrea at a packed Nyayo National Stadium on Saturday, while Guinea lost 2-1 to South Africa at Orlando Stadium in Soweto.

Afcon qualifiers: What coach Benni McCarthy must do to win in Conakry Original
Harambee Stars coach Benni McCarthy will have to conjure up massive improvement from Kenya if they are to stand any chance of overcoming Guinea in their 2027 Africa Cup of Nations (Afcon) qualifier in Conakry tomorrow. The Group “D” match will be played at the 25,000-capacity Stade 28 Septembre from 4pm local time (7pm Kenyan time).
Harambee Stars fly out to Conakry for Afcon qualifier against Guinea
Twenty-four-man Harambee Stars squad left the country last night for Guinea, where they will play the hosts in their second Group ‘D’ match of the 2027 Africa Cup of Nations (Afcon) qualifiers. The match will be played on Thursday at the 25,000-capacity Stade 28 Septembre in Conakry from 4pm. Yesterday, Football Kenya Federation Head of Projects and National Teams Athanus Obango said the squad flew to Addis Ababa before connecting to Conakry on an eight-hour flight.
Benni McCarthy: Off-field issues cost Kenya against Eritrea in Afcon qualifier
Harambee Stars coach Benni McCarthy, has bemoaned the lack of proper preparation and a go-slow in camp that cost Kenya dearly in Group ‘D’ match of the 2027 Africa Cup of Nations (Afcon) qualifiers against Eritrea. In the match played on Saturday at a packed Nyayo National Stadium, a lacklustre Harambee Stars side fought from a goal down to draw 1-1 with Eritrea, a team ranked 75 places lower, before home fans.
Orengo missing as Linda Mwananchi endorses Sifuna Original
What you need to know: Members of the movement said Mr Orengo sent his apologies because he was attending to a sick family member. Sifuna's endorsement brings to the fore the question of what happens to other presidential ambitions within the opposition. The Linda Mwananchi movement has formally endorsed Nairobi Senator Edwin Sifuna as its presidential candidate, in a move that appears to close the door on Siaya Governor James Orengo’s bid for the same ticket.
Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM
Jamvi La Siasa Ziara ya Ruto Nyanza yaacha makovu ODM Na CECIL ODONGO September 27th, 2026 Kusoma ni dakika: 2 ZIARA ya siku tano ya Rais William Ruto Luo Nyanza wiki iliyopita iliacha makovu ya uhasama na mgawanyiko wa kisiasa kati ya baadhi ya viongozi wa eneo hilo hasa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2027 zinavyoendelea kunoga. Rais Ruto alifanya ziara ambayo ilionekana ilifana katika kaunti za Kisumu, Siaya, Migori na Homa Bay ambako alipigia debe azma yake ya kuwahi muhula wa pili.

Harambee Stars held at home by Eritrea in 2027 Afcon qualifier
Harambee Stars came from behind to draw 1-1 with lowly ranked Eritrea in a 2027 Africa Cup of Nations qualifiers Group ‘D’ match at Nyayo National Stadium in Nairobi on Saturday. Thousands of fans filled up the match venue to cheer their beloved team that had endured a difficult week underlined by a players’ strike over allowances.
Harambee Stars in worst possible preps for 2027 Afcon Original
Kenya’s final preparations to mount a plausible title campaign at their home Africa Cup of Nations in nine months’ time could not have got off to a worse start. The Confederation of African Football (CAF) announced that Kenya won the rights to host the 2027 Africa Cup of Nations jointly with Tanzania and Uganda exactly three years ago on Sunday.
Sifuna allies retreat to finalise party plan
What you need to know: Governor George Natembeya said Mr Sifuna will use the United Democratic Party (UDP) to mount his presidential bid. With the party issue seemingly settled, Mr Sifuna's allies said their attention is now shifting to coalition-building.

Sifuna ngangari licha ya misukosuko ya kupata chama
Habari za Kitaifa Sifuna ngangari licha ya misukosuko ya kupata chama Na MOSES NYAMORI, CECIL ODONGO September 24th, 2026 Kusoma ni dakika: 2 SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na shinikizo la kupata chama atakachotumia kuwania urais katika uchaguzi wa 2027, huku pia akishughulikia tofauti za kisiasa ndani ya vuguvugu la Linda Mwananchi. Timu yake iko katika Mahakama ya Kutatua Mizozo ya Vyama vya Kisiasa (PPDT), ikipinga uamuzi wa kuhifadhi jina la “Linda” kwa mtu mwingine.
Sifuna ngangari licha ya misukosuko ya kupata chama
SENETA wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na shinikizo la kupata chama atakachotumia kuwania urais katika uchaguzi wa 2027, huku pia akishughulikia tofauti za kisiasa ndani ya vuguvugu la Linda Mwananchi. Timu yake iko katika Mahakama ya Kutatua Mizozo ya Vyama vya Kisiasa (PPDT), ikipinga uamuzi wa kuhifadhi jina la “Linda” kwa mtu mwingine. Wakati huo huo, baadhi ya viongozi wa upinzani wanamtaka Bw Sifuna awe mgombea mwenza wa kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, katika uchaguzi huo.
My work permit is the biggest issue, McCarthy reveals amid questions about his future Original
The admission by Harambee Stars coach Benni McCarthy that he does not have a work permit has raised questions about his future and how he has been receiving his salary while working without the mandatory documentation.
Inside the political storm threatening Sifuna’s State House bid Original
Nairobi Senator Edwin Sifuna is under immense political pressure as he races against time to secure a party through which he can mount his 2027 presidential bid, while navigating competing ambitions within the Linda Mwananchi movement and the broader opposition. His immediate challenge is to secure an election vehicle for the August 10, 2027 General Election and turn the popularity and visibility of Linda Mwananchi into a formal political outfit.
Wachezaji wa Harambee Stars wagoma kufanya mazoezi kulalamikia kutolipwa posho
Michezo Wachezaji wa Harambee Stars wagoma kufanya mazoezi kulalamikia kutolipwa posho Na Cecil Odongo September 23rd, 2026 Kusoma ni dakika: 2 Wachezaji wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, wamesusia mazoezi kuelekea mechi yao ya kwanza ya Kundi D ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 dhidi ya Eritrea, iliyopangwa kuchezwa Jumamosi katika Uwanja wa Nyayo.
Harambee Stars players go on strike over allowances as Eritrea land for Afcon qualifier
Kenya’s Harambee Stars players have boycotted training for their upcoming 2027 Africa Cup of Nations qualifiers Group “D” opening match against Eritrea, scheduled for Saturday at Nyayo Stadium, the Nation Sports has established. The team reported to camp on Tuesday in Nairobi, but players declined to train, demanding allowances and better treatment when they are in the national team.
Barua mbili zaibuka kuhusu usajili wa jina ‘Ukombozi’ linalogonganisha Sifuna na Kalonzo
Siasa Barua mbili zaibuka kuhusu usajili wa jina ‘Ukombozi’ linalogonganisha Sifuna na Kalonzo Na MOSES NYAMORI, CECIL ODONGO September 23rd, 2026 Kusoma ni dakika: 3 BARUA mbili zinazokinzana zinazodaiwa kuhifadhi jina la ‘Ukombozi’ kwa makundi mawili tofauti zimeweka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) katikati ya mzozo mpya unaowahusu kiongozi wa Wiper Patriotic Movement Kalonzo Musyoka na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna.
Day Harambee Stars suffered painful home loss to Eritrea in Afcon qualifier Original
Kenya’s Harambee Stars will be out to erase one of the most painful chapters in their history when they face Eritrea in the 2027 Africa Cup of Nations qualifier at Nyayo National Stadium on Saturday. Kenya’s encounter with Eritrea in Afcon qualifiers carries a painful reminder of September 2, 2006. Then, the Red Sea Camels stunned the vocal home crowd at Moi International Sports Centre, Kasarani in Nairobi with a 2-1 upset win of siesmici proportions in a 2008 Africa Cup of Nations qualifier.
Barua mbili zaibuka kuhusu usajili wa jina ‘Ukombozi’ linalogonganisha Sifuna na Kalonzo
BARUA mbili zinazokinzana zinazodaiwa kuhifadhi jina la ‘Ukombozi’ kwa makundi mawili tofauti zimeweka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) katikati ya mzozo mpya unaowahusu kiongozi wa Wiper Patriotic Movement Kalonzo Musyoka na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Washirika wa Bw Sifuna jana walidai kulikuwa na njama baada ya Bw Musyoka kuzindua The Ukombozi Alliance (TUA), baada ya kufanikiwa kuhifadhi jina hilo katika ORPP.
Inside ‘Ukombozi’ fight as Kalonzo, Sifuna camps clash over name ahead of 2027
Two conflicting letters purporting to reserve the ‘Ukombozi’ name for two different formations have placed the Registrar of Political Parties at the centre of the latest fight pitting Wiper Patriotic Movement leader Kalonzo Musyoka and Nairobi Senator Edwin Sifuna. Mr Sifuna's allies on Tuesday alleged mischief after Mr Musyoka unveiled The Ukombozi Alliance (TUA), having successfully reserved the name with the Office of the Registrar of Political Parties (ORPP).

Mnafaa kuheshimu wazee walionitawaza, Kindiki aambia wakosoaji
Siasa Mnafaa kuheshimu wazee walionitawaza, Kindiki aambia wakosoaji Na CECIL ODONGO September 22nd, 2026 Kusoma ni dakika: 2 NAIBU Rais Kithure Kindiki amewataka viongozi wa Mlima Kenya kuwaheshimu wazee na kusikiza wito wao wa umoja, akisema tofauti za kisiasa hazifai kuruhusiwa kuvunja jamii ambayo imeshirikiana kwa miaka mingi. Profesa Kindiki alisema amezingatia kwa uzito wito wa wazee wa kuongoza juhudi za maridhiano na umoja katika eneo hilo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.

Museveni: Sikujua Jirongo aliaga dunia, tutamkosa, na apumzike kwa amani
Habari za Kitaifa Museveni: Sikujua Jirongo aliaga dunia, tutamkosa, na apumzike kwa amani Na CECIL ODONGO September 22nd, 2026 Kusoma ni dakika: 1 RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amesema aligundua tu hivi majuzi kwamba aliyekuwa Mbunge wa Lugari, Cyrus Jirongo, alifariki katika ajali ya barabarani Disemba 13, 2025.
Sifuna, Kalonzo fight for 'Ukombozi' party name
A fight over the “Ukombozi” name has exposed growing divisions within the opposition, with allies of Wiper Patriotic Movement leader Kalonzo Musyoka blocking Nairobi Senator Edwin Sifuna’s attempt to use a party widely seen as his vehicle for the 2027 presidential race. What was expected to be a straightforward rebranding of Azimio La Umoja Coalition as The Ukombozi Alliance (TUA) has instead opened a new front between Mr Musyoka’s allies and the Linda Mwananchi movement led by Mr Sifuna.
Oparanya apinga Arati, Oburu kuhusu suala la kugawana maeneo na UDA
Habari Oparanya apinga Arati, Oburu kuhusu suala la kugawana maeneo na UDA Na CECIL ODONGO September 21st, 2026 Kusoma ni dakika: 2 MJADALA kuhusu mpango wa kugawana maeneo ya kisiasa unaendelea kuibua tofauti ndani ya ODM, huku Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya akipinga pendekezo hilo na kuunga mkono ushindani wa kirafiki kati ya ODM na UDA katika uchaguzi wa 2027.
nation.co.ke asks for your consent to use your personal data to:
Vendors can use your data to provide services. Declining a vendor can stop them from using the data you shared. Exponential Interactive, Inc d/b/a VDX.tv Cookie duration: 90 (days). Data collected and processed: IP addresses, Device identifiers, Probabilistic identifiers, Browsing and interaction data, Non-precise location data, Users’ profiles, Privacy choices more Cookie duration resets each session. View details | Storage details | Privacy policy Consent Roq.ad GmbH Cookie duration: 365 (days).
Caf boss Motsepe calls for unity in Kenyan football scene
CAF President Patrice Motsepe on Friday called for unity in Kenyan football, saying the country is on the right path in its preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (Afcon). Motsepe also questioned the whereabouts of FKF Vice-President McDonald Mariga. Mariga and seven members of FKF’s National Executive Committee have questioned the leadership of FKF president Hussein Mohamed. “You say there is division between the president and himself. Where is the vice-president?
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Cecil
Contact Cecil, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack