Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Get in touch with Fatuma
Contact Fatuma, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck RackActions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Articles
Habari Vizingiti vinavyokabili azma ya useneta ya Winnie Odinga Na CECIL ODONGO October 18th, 2026 Kusoma ni dakika: 2 TANGAZO la Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) Winnie Odinga kuwa atawania useneta wa Nairobi unatarajiwa kuvuruga muungano wa Linda Mwananchi na upinzani siasa za 2027 zikishika kasi. Seneta wa sasa wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametangaza kuwa hatatetea kiti chake na analenga uongozi wa nchi ili kumwondoa Rais William Ruto.
Uhuru alikosa kuhudhuria makumbusho ya Raila kwa sababu ya hofu ya kiusalama
Habari Uhuru alikosa kuhudhuria makumbusho ya Raila kwa sababu ya hofu ya kiusalama Na JUSTUS OCHIENG NA RUSHDIE OUDIA October 18th, 2026 Kusoma ni dakika: 1 RAIS mstaafu Uhuru Kenyatta alifuta ziara yake ya Bondo kuhudhuria kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kufuatia wasiwasi kuhusiana na usalama. Timu ya maandalizi ya Bw Kenyatta ilikuwa tayari imewasili Bondo na kiti chake kutengwa katika jukwaa la wageni mashuhuri.
Ruto atua ngome yake kuwarai wampe Tutam 2027
Habari Ruto atua ngome yake kuwarai wampe Tutam 2027 Na ERIC MATARA NA VITALIS KIMUTAI October 18th, 2026 Kusoma ni dakika: 3 RAIS William Ruto ameanzisha kampeni za kuimarisha uungwaji mkono wake katika Bonde la Ufa, akilenga kuongeza idadi ya wapiga kura kutoka 5.4 milioni waliojisajili mwaka 2022 hadi zaidi ya milioni saba kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Fatuma
Contact Fatuma, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack