Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Daniel Mjema
Simu, picha za utupu na mchepuko zilivyosababisha mauaji ya mke
Muktasari: Mahakama Kuu Mbeya imemhukumu Mashaka Mwoga kifungo cha miaka mitatu jela kwa kumuua bila kukusudia mkewe, Gloria Mahali, baada ya ugomvi uliochochewa na wivu kufuatia kugundua mawasiliano na picha za utupu za mkewe akiwa na mwanaume mwingine. Mbeya. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya, imemhukumu Mashaka Mwoga kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe, Gloria Mahali.
Questions linger over the legal basis of Lissu's conviction, sentence
Moshi. The High Court's decision to acquit Chadema national chairman Tundu Lissu of treason but convict him of the lesser offence of incitement and sentence him to four years in prison has raised legal questions about the application of criminal procedure laws and the choice of punishment.
Maswali tata hukumu ya Tundu Lissu
Muktasari: Suala hilo limeleta sintofahamu kwa baadhi ya wadau wa siasa wakiwamo wananchi wanaohoji iweje mtu ashitakiwe kwa uhaini lakini ahukumiwe kwa uchochezi, kosa ambalo hakushitakiwa nalo wala kujitetea nalo. Moshi.
Mawakili waona sintofahamu kifungu kilichobadili upepo kesi ya Lissu
Muktasari: Suala hilo limeleta sintofahamu kwa baadhi ya wadau wa siasa wakiwamo wananchi wanaohoji iweje mtu ashitakiwe kwa uhaini lakini ahukumiwe kwa uchochezi, kosa ambalo hakushitakiwa nalo wala kujitetea nalo. Moshi.
Mtoto aliyemsaidia muuaji kufukia mwili afungwa nje miaka miwili
Muktasari: Mahakama Kuu Arusha imemhukumu mtoto wa miaka 17 kutumikia kifungo cha nje cha miaka miwili baada ya kukiri kumsaidia muuaji kufukia mwili wa marehemu ili kuficha ushahidi na kumwezesha kukwepa mkono wa sheria. Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Arusha, imemhukumu kutumikia kifungo cha nje cha miaka miwili mtoto wa miaka 17 aliyekiri kumsaidia mtu aliyefanya mauaji ya kukusudia kuficha mwili wa marehemu ili kumwezesha kukwepa mkono wa sheria.
UCHAMBUZI WA MJEMA: Chadema jiandaeni kisaikolojia, hukumu ina sura mbili kama shilingi
Kesho Ijumaa Novemba 6, 2026 ni siku ambayo Mahakama itatoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu lakini naona ipo haja kwa viongozi wao kuwaandaa kisaikolojia wanachama kupokea hukumu hiyo. Nasema hivyo kwa sababu saa 24 kabla ya kutolewa kwa hukumu, kuna mijadala mingi inaendelea katika mitandao ya kijamii na baadhi hata wakibashiri aina ya hukumu wakati jambo hilo ni kuingilia mwenendo wa shauri hilo.
UCHAMBUZI WA MJEMA: Utashi wa kisiasa, mazungumzo ndio silaha bora ya maridhiano
Nini kinasababisha tumeshindwa kuridhiana kwa siku 365, hili ndio swali ambalo najiuliza na pengine hata wewe mnajiuliza kwamba kwanini tumeshindwa kuridhiana kama taifa baada ya matukio yale ya Oktoba 29,2025. Jibu ni moja tu, kuna kukosekana kwa utashi wa kisiasa ambao ungetupeleka kwenye mazungumzo ya kweli kama silaha bora ya maridhiano. Bila dhamira au utashi wa kisiasa, unachopata si mazungumzo, bali ni maigizo.
Two men sentenced to death for raping and murdering Musoma businesswoman
Musoma. The High Court’s Musoma Sub-Registry has sentenced two men to death after finding them guilty of murdering businesswoman Jackline Thobias, who was gang-raped by eight men in December 2023. Kurwa Vitalisi, also known as Mabox, and Kelvin Christopher were among eight men who allegedly raped Ms Thobias on December 18, 2023, in the Zanzibar area of Musoma District. The other six suspects remain at large.
UCHAMBUZI WA MJEMA: Mnaonaje tukautangaza 2027 kuwa mwaka wa Katiba mpya?
UCHAMBUZI WA MJEMA: Mnaonaje tukautangaza 2027 kuwa mwaka wa Katiba mpya? Kuna usemi wa wahenga unaosema ‘kupanga ni kuchagua’ nami kwa hekima na busasa ninauliza kwa nini tusiuchague mwaka 2027 ambao tumebakiza siku 60 kuufikia, kuwa ni mwaka wa kupatikana kwa Katiba mpya na bora.
Court rejects woman's claim she contracted HIV through blood transfusion at Kairuki Hospital
Dar es Salaam. The High Court has dismissed a Sh1.57 billion compensation claim brought by a woman against Kairuki Hospital, who accused the medical facility of negligence during surgery and alleged that she was infected with HIV through a blood transfusion. In her claim, the woman alleged that she suffered injuries to both her small and large intestines during surgery, resulting in part of her intestine being removed.
Former law student in Tanzania takes two universities to court in Sh595 million battle
Dar es Salaam. The Court of Appeal of Tanzania has reinstated a Sh595 million lawsuit filed by David Mwangwale, a law certificate graduate of St Augustine University of Tanzania (SAUT), which had previously been dismissed by the High Court. Mr Mwangwale has sued SAUT, the Catholic University College of Mbeya (CUCoM) and CUCoM’s Deputy Vice-Chancellor responsible for Academic Affairs, listed as the first, second and third defendants respectively, seeking Sh595 million in compensation.
Mhitimu cheti cha sheria anavyotoana jasho na SAUT, CUCoM kortini akidai fidia Sh595 milioni
Muktasari: Mwaka 2013 CUCoM) kilianza kama kituo cha masomo cha SAUT na mwaka mwaka 2020 Kilipewa hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki na kuitwa CUCoM au kwa kirefu Catholic University College of Mbeya. Mbeya. Mahakama ya Rufani, imeirudisha kortini kesi iliyofunguliwa na mhitimu wa cheti cha sheria katika chuo cha St Augustine University of Tanzania (SAUT), David Mwangwale iliyokuwa imefutwa na Mahakama Kuu.
Mhitimu cheti cha sheria anavyotoana jasho na SAUT, CUCoM kortini akidai fidia Sh595 mil
Muktasari: Mwaka 2013 CUCoM) kilianza kama kituo cha masomo cha SAUT na mwaka mwaka 2020 Kilipewa hadhi ya kuwa chuo kikuu kishiriki na kuitwa CUCoM au kwa kirefu Catholic University College of Mbeya. Mbeya. Mahakama ya Rufani, imeirudisha kortini kesi iliyofunguliwa na mhitimu wa cheti cha sheria katika chuo cha St Augustine University of Tanzania (SAUT), David Mwangwale iliyokuwa imefutwa na Mahakama Kuu.
Raia wa Poland na mkewe waliofungwa kwa bangi
Muktasari: Katika hukumu iliyotolewa Oktoba 26, 2026, majaji wa Mahakama ya Rufani, Ferdinand Wambali, Agnes Mgeyekwa na Dk Yose Mlyambina, walikubali rufaa ya wanandoa hao, wakatengua hukumu za kutiwa hatiani na kuondoa adhabu walizokuwa wamepewa. Moshi. Mahakama ya Rufani imewaachia huru raia wa Poland, Damian Krzysztof Jankowski, na mkewe Mtanzania, Eliwaza Pyuza, waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa yanayohusiana na kilimo, usafirishaji na matumizi ya bangi.
Heroin ilivyomweka mahabusu miaka 12, Jopo la majaji lamwachia huru
Moshi. Haijaisha mpaka iishe, ndivyo ilivyotokea kwa Rukia Mohamed ambaye ameachiwa huru baada ya miaka 12 akipigania haki yake ya kuwa huru, baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha mara mbili na Mahakama Kuu. Desemba 21, 2013 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Rukia alituhumiwa kukamatwa akisafirisha gramu 1,478.15 za dawa za kulevya aina ya Heroin Hydrochloride zenye thamani ya Sh66.2 milioni.
UCHAMBUZI WA MJEMA: Kwa hili, rais wa Tahliso ametukosea sana wasomi
Wiki iliyopita nilisikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Rais wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania (Tahliso), Geofrey Kiliba, kwamba alimuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kibali cha kuwatukana wanaomtukana. Nikirejea kauli yake mwenyewe, Kiliba anasema siku moja (mwaka huuhuu) watu wa vyuo walipata fursa ya kwenda kuonana na Rais kwa ajili ya kuwasilisha changamoto za vyuo na vyuo vikuu, tena mwaka huu.
Mahakama ya Rufani yatupa rufaa ya aliyekuwa mgombea udiwani wa CUF
Muktasari: Majaji wasikitishwa na maandalizi ya wakili, wasema hakufanya utafiti wa kutosha. Moshi. Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na Hamidu Msema, aliyekuwa mgombea wa udiwani katika Kata ya Msaada, Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, kupitia Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Hashim Rungwe akwama kortini, fidia ya Sh1 bilioni yayeyuka
Kigoma. Hashim Rungwe, mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amekwama mahakamani baada ya madai yake ya kulipwa fidia ya Sh1 bilioni kukataliwa na mahakama ikatamka yeye si mmiliki halali wa kiwanja alichokuwa anadai. Rungwe ambaye katika hukumu hiyo mahakama imemtambua pia kwa jina lake maarufu la Sipunda, ni wakili wa kujitegemea.
Watoto wa Cleopa Msuya wavutana mahakamani kuhusu mirathi
Muktasari: Jaji atupilia mbali mapingamizi matano, la sita likakubaliwa kwa sehemu; maombi ya kuhifadhi mali za marehemu sasa kusikilizwa. Dar es Salaam. Watoto watatu wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Cleopa Msuya, wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa mirathi ya baba yao, huku mmoja wao akiiomba Mahakama Kuu kutoa amri za muda za kulinda mali za marehemu.
Gari Toyota Alphard lataifishwa, lilitelekezwa na kilo 875 za mirungi
Muktasari: Ilidaiwa kuwa Julai 15, 2025, katika Kijiji cha Mipa, Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Imani Adriano alikutwa ndani ya gari aina ya Toyota Alphard lililokuwa na kilo 875 za mirungi Sumbawanga. Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru gari aina ya Toyota Alphard lililotelekezwa likiwa na kilo 875 za dawa za kulevya aina ya mirungi, kutaifishwa na kuwa mali ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UCHAMBUZI WA MJEMA: Kenya kuna Ebola, Tanzania tunadhibiti vipi njia za panya?
Nimeona jitihada za Serikali ilivyojipanga kudhibiti kuingia nchini kwa ugonjwa wa Ebola ambao tayari umeingia kwa majirani zetu Kenya ukitokea Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo (DRC) lakini tumejipangaje kuthibiti njia zetu za panya. Ninauliza swali hili kwa sababu suluhisho sio kufunga njia za panya zilizopo vijiji vinavyopakana na Kenya, na wala si kupeleka jeshi kwa sababu hazifungiki, suluhisho ni kuzifanya ziwe sehemu ya mfumo wa afya.
Mhandisi aliyedai kufichua ufisadi ageuziwa kibao kortini
Dar es Salaam. Mhandisi wa Mitambo, Blangson Mponella, aliyewahi kuhudumu katika Wizara ya Maji na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amejikuta katika wakati mgumu kortini, baada ya Serikali kumgeuzia kibao. Mponella alifungua maombi ya kuomba kuongezewa muda wa kufungua maombi ya kupatiwa kibali cha kufungua maombi ya mapitio ya mahakama, lakini Serikali ikasema barua ya Hospitali ya Amana aliyoitumia ni ya kugushi.
Selasini aamriwa kumlipa Mbatia mamilioni, kauli ya 2020 yamponza
Muktasari: Katika mkutano uliofanyika nyumbani kwa Mzee Chibura katika mtaa wa Mlango Mmoja, wilaya ya Musoma, Selasini alinukuliwa akimtuhumu Mbatia kupokea fedha hizo, tuhuma ambazo Mbatia alisema hazikuwa na ukweli. Moshi. Mahakama Kuu imemwamuru mwanasiasa wa siku nyingi, Joseph Selasini, kumlipa aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, fidia ya Sh100 milioni kwa kutoa matamshi yaliyomkashifu Mbatia.
Jaji ashtukia hukumu za ulipaji fidia kwa waathirika wa ubakaji, mbakaji asingizia majini
Dodoma. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Biswalo Mganga, amesema adhabu ya kulipa fidia inayoambatana na kifungo cha maisha jela kwa wabakaji haitekelezeki akisema watunga sheria wanapaswa kutafakari upya. Jaji Mganga ambaye amewahi kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), amesema haijulikani ni kwa namna gani mfungwa huyo ambaye atalazimika kukaa gerezani maisha yake yote, atalipa kiasi hicho baada ya kumaliza kifungo. “Kwa maneno mengine, mfungwa huyo hawezi kuachiwa huru hadi pumzi yake ya mwisho.
Askari ‘Polisi’ watatu walivyowabwaga IGP, RPC kortini
Simiyu. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Simiyu, imefuta na kubadilisha mwenendo mzima wa kuwafukuza kazi waliokuwa askari watatu wa Jeshi la Polisi, kwa kuwa uamuzi huo ulikiuka sheria. Hata hivyo, mahakama hiyo imelikataa ombi la amri ya mahakama (mandamus) ya kumtaka mdaiwa wa pili, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwarejesha kazini askari hao, waliokuwa wakihudumu wilaya ya Bariadi.
Fidia ya Sh1 milioni kwa mbakaji yazua mjadala mahakamani
Muktasari: Jaji Mganga, ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), amesema haijulikani mfungwa anayehukumiwa kukaa gerezani maisha yake yote atawezaje kulipa fidia baada ya kumaliza kifungo hicho. Dodoma. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Biswalo Mganga, amesema amri ya kuwalipa fidia waathirika wa ubakaji baada ya kumaliza vifungo vya maisha jela inaweza kuwa ngumu au isiwezekane kutekelezwa, akitaka watunga sheria kutafakari upya utaratibu huo.
Mwalimu, walinzi wahukumiwa miaka 10 jela kwa kifo cha mwanafunzi
Muktasari: Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Sumbawanga, imewahukumu mwalimu na walinzi wawili wa Shule ya Sekondari ya St Kagwa kifungo cha miaka 10 jela kila mmoja kwa kuua bila kukusudia mwanafunzi Novatus Adelhard (15), baada ya kumpiga kwa nyaya za umeme na fimbo kwa madai ya kumkuta katika bweni la wasichana. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema kila mmoja atatumikia miaka minane na miezi mitatu baada ya kuzingatia muda waliokaa mahabusu. Sumbawanga.
Mwalimu, walinzi jela miaka 10 kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi
Muktasari: Waliohukumiwa ni Zakaria Fortunatus, aliyekuwa mwalimu wa shule hiyo, pamoja na Michael Donasia, anayejulikana pia kama Pesambili na Geofrey Mwampunga, waliokuwa walinzi wa shule hiyo iliyopo Sumbawanga Sumbawanga. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Sumbawanga, imewahukumu mwalimu wa Shule ya Sekondari ya St. Kagwa na walinzi wawili wa shule hiyo kifungo cha miaka 10 jela kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha kifo cha mwanafunzi wa miaka 15 kwa kumpiga.
Giza nene usajili wa vyama vipya vya siasa, Msajili afunguka
Muktasari: Chama cha mwisho kupata usajili wa kudumu kwa mujibu wa tovuti ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni ACT Wazalendo kilichosajiliwa Mei 2014 na kufanya vyama vyenye usajili wa kudumu hapa Tanzania kufikia 19. Moshi. Nini kinachelewesha usajili wa vyama vipya vya siasa, ni swali linalogonga vichwa vya wadau wa siasa nchini huku Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikinyooshewa kidole kwa kutosajili chama hata kimoja kwa miaka 12.
Kaka alivyokodi wauaji wa mdogo wake kwa Sh3 milioni, kisa kauli ya baba
Muktasari: Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Singida, imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu watatu, akiwamo Bangili Ngalula, aliyekodi watu wawili kwa Sh3 milioni kumuua mdogo wake, Dase Ngalula, akimtuhumu kusababisha kifo cha baba yao kwa sumu. Singida. Ni nadra kwa ndugu kukodi wauaji ili wamuue ndugu yake wa damu, lakini tukio hilo limetokea wilayani Iramba, mkoani Singida, baada ya kaka kukodi watu wawili kwa Sh3 milioni ili watekeleze mauaji ya mdogo wake.
Mahakama yamaliza mvutano bia ya Serengeti Lite, Hanson’s Lite
Muktasari: Katika shauri la awali, SBL inayozalisha bia ya Serengeti Premium Lite, iliishtaki East Africa Spirits (T) Limited, inayozalisha Hanson’s Premium Lite ikidai kuwa muonekano wa bia hiyo unafanana na wa bidhaa yake na hivyo unaweza kuwachanganya wateja. Moshi.
Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali maombi ya amri ya kumtafuta mfugaji
Muktasari: Uamuzi umetolewa na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, lililotupa rufaa iliyofunguliwa na Ndoloi Oriaisi Ng’iyo, mtoto wa mfugaji huyo, dhidi ya Mkuu wa Polisi (OCD) wa Wilaya ya Ngorongoro. Arusha. Mahakama ya Rufani imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuyakataa maombi ya kutolewa kwa amri ya kumleta mahakamani au kumwachia huru, akiwa hai au mfu, Oriaisi Pasilange Ng’iyo, baada ya kubainika kuwa hakuna uthibitisho kwamba alikamatwa na Polisi.
Love triangle turns deadly as man gets 13 years for lover’s death
Kigoma. The Kigoma registry of the High Court of Tanzania, has sentenced Selemani Kiswamu to 13 years in prison after convicting him of manslaughter over the death of Festo Geraz, whom he found having sex with a woman he identified as his wife. Kiswamu went to Banjuka Guest House in Lugogoni, Nguruka Village, Uvinza District, after suspecting that the woman had been meeting Geraz, popularly known as Wachu, at the guest house.
Fumanizi lililosababisha mauaji ya ‘mchepuko’
Muktasari: Mahakama Kuu Kigoma imemhukumu Selemani Iddi Kiswamu miaka 13 jela kwa kusababisha kifo cha Festo Geraz, baada ya kumfuma akifanya mapenzi na mwanamke aliyemtaja kuwa mke wake katika nyumba ya wageni. Kigoma. Mahakama Kuu, Kanda ya Kigoma, imemhukumu Selemani Kiswamu kutumikia kifungo cha miaka 13 jela baada ya kumtia hatiani kwa kusababisha kifo cha Festo Geraz, aliyemkuta akifanya mapenzi na mwanamke aliyemtaja kuwa mke wake.
Ninazikubali ndoto za Makonda, mbunge Shayo kwenye hili la SGR
Mbunge wa Arusha mjini, Paul Makonda na Mbunge wa Moshi mjini, Ibrahim Shayo, kwa nyakati tofauti wamezungumzia umuhimu wa usafiri wa reli kati ya Arusha na Moshi na Shayo yeye ameenda mbali akitamani reli ya kisasa (SGR). Binafsi natamani wabunge hao wawili ambao naamini wana uwezo huo, waunganishe nguvu kupigania ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam, Tanga Arusha kupitia Moshi, ili kuinuia na kujenga Uchumi imara wa mikoa ya kaskazini.
Court orders IGP, Tanesco to pay Sh646m over missing equipment
Dar es Salaam. The High Court has ordered the Inspector General of Police (IGP) and Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) to jointly pay Future Century Limited Sh646 million for electrical equipment seized by police in 2006, after ruling that part of it was not returned. The amount comprises Sh596 million, representing the value of the missing equipment, and Sh50 million in general damages.
IGP, Tanesco waamriwa kulipa Sh646 milioni
Dar es Salaam. Mahakama Kuu imemwamuru Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuilipa kampuni ya Future Century Limited Sh646 milioni kutokana na vifaa vya umeme vilivyokamatwa na Polisi mwaka 2006 na sehemu yake kutorejeshwa. Kiasi hicho kinajumuisha Sh596 milioni, thamani ya vifaa vilivyodaiwa kupotea, pamoja na Sh50 milioni za fidia ya jumla.
Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi waburutwa kortini
Muktasari: Hii inaweza kuwa moja ya kesi ya aina yake katika historia ya Tanzania ambapo mahakama inasikiliza kesi ambayo imefunguliwa dhidi ya viongozi wa juu wa mhimili huo wa utoaji wa haki. Moshi/Dar. Inaweza kuwa moja ya kesi zinazoingia katika rekodi nchini, baada ya mawakili 5 kutumia mhimili wa Mahakama kufungua kesi ya kikatiba dhidi ya Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi.
Jinamizi la EAC wafanyakazi 17,900 wakirudi kortini baada ya miaka 20
Muktasari: EAC ilikuwa jumuiya ya nchi tatu za Tanzania, Kenya na Uganda kabla ya kuvunjika mwaka 1977 na kuanzishwa upya mwaka 1999 kwa mkataba mpya. Kwa sasa ina wanachama wanane. Dar es Salaam. Miaka 20 baada ya Serikali ya Tanzania kukubaliana kuwalipa waliokuwa wafanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) stahiki zao zinazofikia Sh117 bilioni, baadhi ya wanufaika hao wamerudi mahakamani wakidai kugundua kasoro katika makubaliano yaliyofungwa mwaka 2005.
Mahakama yaibua mapya sakata la kumkamata Sativa
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta hati ya kukamatwa na kurejeshwa nchini kwa mwanaharakati wa mtandaoni, Edger Edson Mwakabela, maarufu ‘Sativa255’, na kuitangaza amri hiyo kuwa batili. Uamuzi huo umetolewa Septemba 29, 2026 na Jaji Dafina Ndumbaro wa Kanda ya Dar es Salaam, baada ya kusikilizwa kwa rufaa ya Sativa aliyoiwasilisha kupinga amri hiyo iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Tanzania High Court overturns arrest, extradition order against 'Sativa'
Moshi. The High Court of Tanzania has quashed an arrest and extradition order issued against online activist Edger Mwakabela, popularly known as Sativa, declaring the orders invalid. The ruling was delivered on September 29, 2026, by High Court Judge Dafina Ndumbaro in Dar es Salaam after hearing Sativa’s appeal against the orders issued by the Kisutu Resident Magistrate’s Court.
Safari ya miaka 30 waliostaafishwa kwa manufaa ya umma kupigania haki kortini
Muktasari: Mahakama ya Rufani imekubali rufaa ya waliokuwa watumishi 10 wa Wizara ya Fedha, waliostaafishwa kwa manufaa ya umma mwaka 1996 na kuwapa siku 30 kuwasilisha maombi ya mapitio Mahakama Kuu. Dodoma. Haijaisha mpaka iishe. Msemo huu unaotamba kwa sasa ndio unaoweza kuelezea safari ya takriban miaka 30 ya watumishi 10 wa zamani wa Wizara ya Fedha, waliostaafishwa kwa manufaa ya umma mwaka 1996 kupigania haki yao mahakamani.
Wanandoa Watanzania waingia matatani Kenya
Muktasari: Wanandoa hao wanadaiwa kuendesha mtandao wa kuwalewesha abiria kwa dawa kwenye mabasi ya masafa marefu, kisha kuwaibia mali zao. Moshi/Mombasa. Watanzania wawili ambao ni mume na mke, wamekamatwa jijini Mombasa, nchini Kenya, wakituhumiwa kuendesha mtandao wa kuwalewesha abiria kwa dawa wakiwa kwenye mabasi ya masafa marefu, kabla ya kuwaibia mali zao.
Tanzanian couple held in Kenya over alleged bus passenger drugging, theft syndicate
Moshi/Mombasa. A Tanzanian couple has been arrested in Kenya over allegations of drugging passengers on long-distance buses and stealing their belongings, according to Kenya’s Directorate of Criminal Investigations (DCI). The suspects, identified as Pius Paskale Frugenze, 52, and his wife, Redempta Revelian Kuleta, 47, were arrested in Mombasa following investigations into a suspected passenger drugging and theft operation.
Former Finance ministry employees get fresh chance in 30-year legal battle
Dodoma. Ten former Ministry of Finance employees retired in the public interest 30 years ago have been given another opportunity to challenge the decision after the Court of Appeal overturned a High Court ruling that had rejected their application for review. The decision, delivered on September 29, 2026, directs the former employees to file an application for review before the High Court within 30 days, reopening another chapter in a legal dispute dating back to 1996.
IGP Kenya afika kortini, Jaji ampa onyo
Muktasari: Mahakama yamkuta na hatia ya kudharau amri kuhusu vizuizi barabarani Nairobi Moshi/Nairobi. Mahakama Kuu ya Kenya, imempa onyo kali Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Douglas Kanja, baada ya kumtia hatiani kwa kudhar amri ya mahakama iliyotolewa na Jaji Lawrence Mugambi. Mahakama ilimnusuru IGP Kanja na adhabu ya kulipishwa faini au kifungo kwa sababu alifika mahakamani akiwa na maofisa wa ngazi ya juu na kumhakikishia Jaji kuwa tukio kama hilo halitakaa lijirudie.
Chacha amethibitisha CCM chama dola na kukoleza mahitaji ya Katiba mpya
Chacha amethibitisha CCM chama dola na kukoleza mahitaji ya Katiba mpya Daniel Mjema Kauli ya Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha kwamba vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mali ya CCM inashtua, japokuwa si ngeni. Ni kauli inayothibitisha hisia kuwa chama hicho kinatumia dola kubaki madarakani.
Hivi ndivyo ‘kigogo’ wa jeshi anavyopigania haki, alikuwa na cheo cha ASP
Muktasari: Jaji Martha Mpaze asema Kisandu amethibitisha sababu za kutosha za kuongezewa muda, akizingatia hatua mbalimbali alizochukua kisheria katika miaka 10 ya kupigania kurejeshwa kazini. Tabora. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Tabora, imempa kibali aliyekuwa ofisa wa Jeshi la Magereza nchini mwenye cheo cha mrakibu msaidizi wa magereza (ASP), John Kisandu, cha kuendelea kupigania haki yake ya kurejeshwa kazini.
Kanisa Katoliki, Free Pentecostal yalivyotoana jasho kortini
Muktasari: Mahakama Kuu Kigoma imetupilia mbali kesi ya ardhi iliyofunguliwa na Kanisa Katoliki dhidi ya FPCT, baada ya kukubaliana na pingamizi la awali la kisheria lililowasilishwa na wakili Michael Mwangati. Kigoma. Mahakama Kuu imeitupa kesi iliyofunguliwa na Baraza la Wadhamini la Kanisa Katoliki Dayosisi ya Kigoma dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Free Pentecostal Church (FPCT), baada ya Kanisa Katoliki kukosea jina la FPCT.
Businessman to pay Sh10 million after affair with official's wife
Tabora. The Court of Appeal has upheld a decision ordering Mlele District businessman Mathew Pesambili, based in Katavi, to pay a municipal director Sh10 million as compensation for adultery. When the senior official caught him red-handed committing adultery with his wife in 2021, he was a District Executive Director (DED) in a council in the South-Western Zone. He is now a municipal director in the Lake Zone.
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Daniel
Contact Daniel, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack