Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data Chanzo cha picha, Caltech/R Hurt (IPAC) Maelezo kuhusu taarifa Author, Fernando Duarte Nafasi, BBC Dakika 15 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 7 Tangu Pluto ipokonywe hadhi ya kuwa sayari mwaka 2006, tumekuwa tukiambiwa kuwa mfumo wa jua una sayari nane pekee. Hata hivyo, baadhi ya wanasayansi wanaamini kuwa kuna sayari ya tisa isiyoonekana kwa urahisi, na huenda tuko karibu kuigundua kupitia darubini mpya zenye nguvu kubwa. Vera C.