Joseph Lyimo
Tanzania
Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Joseph Lyimo
Takukuru Manyara yarejesha Sh100 milioni za Jumuiya ya Hifadhi Wanyamapori Burunge
Naibu mkuu wa Takukuru mkoa wa Manyara, Anthony Gang'olo akizungumza na waandishi wa habari mjini Babati. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Fedha hizo zilichukuliwa na baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Burunge (Juhibu) wilayani Babati mkoani Manyara kugawana posho kwenye vikao ambavyo havikufanyika. Babati.
Bibi Lotuno, miaka 104 ya maisha vizazi vinne vya familia
Muktasari: Ushuhuda wa familia, viongozi wa dini na majirani unaonyesha kuwa kumbukumbu ya Bibi Lotuno haijaishia katika umri wake wa miaka 104 wala idadi ya vizazi alivyoacha, bali pia katika ukarimu, imani na mahusiano aliyojenga na watu katika maisha yake. Arumeru.
Waziri Ulega awataka watendaji kutumia madaraka kwa uadilifu
Waziri wa Katiba na Sheria Abdallah Ulega, akizungumza na Viongozi na Watendaji wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara, juu ya uraia na utawala bora, mjini Babati. Picha za Joseph Lyimo Muktasari: Asisitiza haki za binadamu, uwajibikaji na utoaji huduma bora kwa wananchi Babati.
Nyumba 35 zaezuliwa Hanang, DC awatembelea waathirika
Mkuu wa wilaya ya Hanang' mkoani Manyara, Vita Kawawa akikagua nyumba zilizoezuliwa na upepo mkali baada ya mvua kunyesha mji mdogo wa Katesh. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Mvua iliyoambatana na upepo mkali ilisababisha baadhi ya nyumba kuezuliwa mapaa mji mdogo wa Katesh wilayani Hanang' mkoani Manyara. Hanang. Nyumba 35 zilizopo mji mdogo wa Katesh, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, zimeezuliwa na upepo mkali baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo hilo.
Naberera walalamikia tembo kuua mtoto na kuharibu mazao
Muktasari: Kifo cha Simon Mbototo (16) cha kudaiwa kuuawa na tembo ni tukio la tatu la kwenye eneo hilo la Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Simanjiro. Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuwadhibiti tembo wanaovamia makazi yao, kwani wamesababisha kifo cha mtoto mdogo na kuharibu mazao.
BoT yaagiza benki kupokea fedha zilizochakaa
Baadhi ya maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), wakitoa elimu ya fedha kwa wageni waliotembelea banda lao kwenye maonyesho ya biashara ya kitaifa ya Tanzanite Manyara Trade Fair yanayoendelea mjini Babati mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Benki za biashara mkoani Manyara zatakiwa kupokea fedha zilizochakaa na kuzibadilisha kwa wateja, huku BoT ikieleza vigezo vya kubadilisha noti zilizoharibika. Babati.
Kufutwa sheria kandamizi kwafufua matumaini ya wafugaji Simanjiro
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Ole Millya (katikati) akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kata ya Loiborsiret wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kwenye ziara yake ya kusikiliza changamoto zao na kuzungumza nao. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Wafugaji wa Tarafa ya Emboreet, wilayani Simanjiro, mifugo yao ilipokutwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire au Pori la Akiba la Mkungunero, walikabiliwa na faini za mamilioni ya fedha au kunyang’anywa mifugo yao.
Mama aliyeibiwa mtoto azidi kupaza sauti
Mkazi wa kata ya Arri wilayani Babati mkoani Manyara, Rahma Mpinga (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Regina Ndege alipofika kumfariji baada ya kuibiwa mtoto wake siku moja baada ya kujifungua katika kituo cha afya Dareda kati.
RC Shigela awatahadharisha wananchi Hanang dhidi ya El Nino
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Martine Shigela (katikati), akikagua maeneo yaliyokumbwa na maafa katika Mji Mdogo wa Katesh, Wilaya ya Hanang’, wakati wa ziara yake ya kukagua tahadhari dhidi ya mvua za El Niño. Picha na Joseph Lyimo. Muktasari: Maporomoko hayo ya matope yalisababisha vifo vya watu 89 na majeruhi zaidi ya 116 huku mamia ya watu wakipoteza makazi, mifugo na mazao ya mashambani. Hanang.
Mtoto aliyepotea Shinyanga apatikana Manyara
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Martine Shigela (kushoto) akimkabidhi kwa mama yake, mtoto aliyeibiwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kutelekezwa mjini Babati. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: DNA yamrejesha kwa mama baada ya kuibwa Kahama na kutelekezwa Babati. Babati.
DC Simanjro aagiza walimu kuimarisha taaluma, maadili
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Fakii Lulandala (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa wakuu wa Shule za Sekondari Mkoa wa Manyara, Mwalimu Emmanuel Bayo, kwenye mkutano uliofanyika mji mdogo wa Mirerani, kulia ni mkurugenzi wa City Institute, Dk Shaban Mwanga.
Over 100,000 farmers to gain access to agricultural drone technology
Dar es Salaam. More than 100,000 smallholder, medium and large-scale farmers are expected to gain access to agricultural drone technology for crop spraying and monitoring under a new partnership between Mati Technologies Company Limited and Mazao Hub. On Monday, September 7, 2026, the two companies signed a Memorandum of Understanding (MoU) aimed at expanding access to locally manufactured agricultural drones, particularly among smallholder farmers.
DC Simanjiro aingilia kati uvamizi wa eneo la shule
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Fakii Lulandala (katikati) akizungumza na Stephen Mollel (kulia) anayedaiwa kujenga nyumba ndani ya ekari 48 za shule ya awali na msingi Saniniu Laizer iliyopo kijiji cha Naepo Kata ya Naisinyai. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Baadhi ya watu wamevamia eneo la shule ya awali na msingi ya Serikali ya Saniniu Laizer iliyopo Kijiji cha Naepo Kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ina ukubwa wa eneo la ekari 48. Simanjiro.
Sillo azitaka taasisi za elimu kuandaa vijana kwa soko la ajira
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daniel Sillo (katikati) akizungumza kwenye uzinduzi wa mpango wa masomo ya shahada mbili mpya ya sayansi ya kompyuta na uhasibu katika teknolojia ya habari ya chuo cha uhasibu Arusha kampasi ya Babati mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Taasisi za elimu zimetakiwa kuwaandaa wanafunzi wao wakihitimu wawe na uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira na kujiajiri Babati.
Bado kiza kimetanda mtoto wa siku moja aliyeibwa Dareda
Muktasari: Aliibwa baada ya kuzaliwa kwenye Kituo cha Afya Dareda Kati, wilayani Babati Mkoa wa Manyara Babati. Sakata la kuibwa mtoto wa siku moja katika Kituo cha Afya Dareda Kati, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, bado halijapatiwa ufumbuzi huku mama mzazi akiendelea kusubiri kwa matumaini ya kupatikana kwa mtoto wake.
Wazazi sita ‘wabanwa’ kwa watoto kutokwenda shule
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Gracian Max Makota akizungumza kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Wazazi hao wamefikishwa mahakamani wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, kwa kudaiwa kuzuia watoto kwenda shule na kuwapa kazi ya kuchunga mifugo yao.
Night attack on Tanzania’s Manyara estate leaves crops, tractors destroyed
Babati. Police in Manyara Region have detained 16 Kiru Village residents in Babati District over allegations of invading Dudumera Estate, setting fire to crops, and destroying three tractors. Manyara Regional Police Commander, Senior Assistant Commissioner of Police (SACP) Ahmed Makarani, confirmed the arrests to journalists in Babati Town on August 17, 2026. SACP Makarani said police were continuing investigations into the incident, which occurred on Saturday, August 15, 2026, in Kiru Village.
Mama mwingine aibiwa mtoto mchanga hospitali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani Muktasari: Mkazi huyo wa Kijiji cha Dareda Kati, wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, Rahma Mpinga (19), ameibiwa mtoto mchanga wa siku moja katika kituo cha afya Dareda Kati na watu waliojitambulisha kuwa daktari na muuguzi. Babati.
How fatal hyena attacks claimed two lives in Babati, Manyara Region
Babati. Two people have died in Babati District, Manyara Region, after being attacked by hyenas in separate incidents across different locations. These fatalities come just days after similar hyena attacks were reported in Masakta Ward, Hanang District, where a resident succumbed to injuries inflicted by the wild animals. The first incident occurred in the Dareda Mission area, Babati District, where 40-year-old Manase Nicodemus died following a hyena attack.
Aweso atoa maagizo mradi wa maji Babati
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (kulia) na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daniel Sillo wakiwa na ndoo za maji baada ya kukagua mradi utakaonufaisha watu 3,766 wa vijiji vya Gidaboshka na Endamagay wilayani Babati mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Mradi huo wenye thamani ya Sh1.099 bilioni umefikia asilimia 87 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika ifikapo Septemba 30, 2026. Babati.
Wawili wafariki dunia kwa kushambuliwa na fisi Manyara
Muktasari: Tukio la kwanza la vifo hivyo viwili limetokea Agosti 5, 2026, katika eneo la Dareda Mission, Babati ambako Manase Nicodemus (40), alikutwa amefariki baada ya kushambuliwa na fisi. Babati. Hofu imezidi kutanda kwa baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara baada ya watu wawili kufariki dunia katika matukio mawili tofauti yanayodaiwa kusababishwa na kushambuliwa na fisi.
UWT Manyara yapata jengo la kitega uchumi
Katibu Mkuu wa UWT, Susan Kunambi (katikati) akizungumza mjini Babati mkoani Manyara, baada ya kuzindua jengo la biashara la wanawake lililojengwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Regina Ndege (watatu kulia) kwa gharama ya Sh10 milioni. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Jengo hilo la kitega uchumi la UWT Manyara limejengwa kwa gharama ya Sh10 milioni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Regina Ndege Babati.
High-tech harvest: How Tanzania-made drones are powering Vision 2050
Arusha. Tanzania has achieved a major milestone in technology and agriculture following the launch of the country’s first indigenous firm designing and manufacturing agricultural drones. The breakthrough is expected to accelerate the adoption of modern technology to boost agricultural productivity while driving industrial growth envisioned under the National Development Vision 2050.
Drone za kilimo kuchochea utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050
Ndege nyuki za kilimo zinazozalishwa nchini. Muktasari: Ubunifu huo wa kwanza wa aina yake nchini, unaozinduliwa katika Maonyesho ya Nane Nane 2026, unatarajiwa kuongeza tija ya uzalishaji, kupunguza gharama za kilimo na kuharakisha matumizi ya teknolojia za kisasa kwa wakulima. Arusha. Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya teknolojia na kilimo baada ya kampuni ya wazawa kuanza kutengeneza ndege nyuki (drones) za kilimo kwa matumizi ya ndani ya nchi.
Adaiwa kuuawa na mwenye changamoto ya akili akielekea msikitini
Mwenyekiti wa kituo cha afya Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Twaha Mpanda (kushoto) akiwa kwenye msiba wa Said Changoma Muktasari: Inadaiwa aliuawa kwa kupigwa jiwe kichwani akielekea kuswali Msikiti wa Mabanzini, Mirerani. Mirerani. Mkazi wa mtaa wa Kisimani, Kata ya Endiamtu, mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Said Changoma (48), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa kupigwa jiwe kichwani na mtu mwenye changamoto ya afya ya akili, Shabani Idd.
Mbunge Babati ataka uchunguzi wa mapato ya minara Sigino
Mbunge wa Babati mjini mkoani Manyara, Emannuel Khambay akizungumza na wakazi wa kijiji cha Sigino juu ya changamoto ya minara ya simu redio na luninga kutolipia ushuru. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Minara ya redio, luninga na mitandao ya simu imewekwa katika kijiji cha Sigino mjini Babati mkoani Manyara ila malipo yao hayaonekani. Babati.
Mfumo wa kidijitali kufungua masoko ya mikunde
Mratibu wa Mtandao wa Mfumo wa Kidijitali wa Mazao ya Jamii ya Mikunde Tanzania, Zirack Andrew, akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo uliofanyika wilayani Babati, mkoani Manyara. Picha na Joseph Lyimo. Muktasari: Mfumo huo wa kidijitali umezinduliwa ukiwa na lengo la kuwasaidia wakulima nchini kupata taarifa sahihi za masoko, bei za mazao na fursa mbalimbali katika mnyororo wa thamani wa mikunde Babati.
Mwili wa mtoto aliyejinyonga Mirerani waagwa
Ndugu, jamaa na marafiki wakazi wa kitongoji cha Kilimahewa kata ya Endiamtu mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wakiwa mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Mtoto Vaileth Innocent Soka (13) alifariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga Julai 18, 2026 katika kitongoji cha Kilimahewa kata ya Endiamtu, mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Mirerani.
Tanzania Minister Ole Millya undergoes successful brain tumour surgery in South Africa
Simanjiro. Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation James Ole Millya, who is also Simanjiro Member of Parliament, has undergone surgery to remove a brain tumour in South Africa. A statement issued on Wednesday, July 22, 2026, by the MP’s secretary, Mr Frank Oleleshwa, says the Deputy Minister underwent the operation on Tuesday, July 21, 2026, at Netcare Milpark Hospital in Johannesburg.
Manyara kukusanya Sh1.5 bilioni kuokoa watoto njiti
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga (kulia) akimkabidhi fulana Rais wa shirikisho la riadha Tanzania (RT) Roghat John Akhwari kwenye maandalizi ya mashindano ya riadha ya Manyara Tanzanite marathon yenye lengo la kupatikana Sh1.5 bilioni za ujenzi wa jengo la mama na watoto na kuboresha huduma za watoto wachanga na njiti. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Takribani watoto njiti 3,000 huzaliwa kila mwaka katika Mkoa wa Manyara kwenye wilaya za Hanang', Kiteto, Simanjiro, Mbulu na Babati. Babati.
Ole Sendeka: Waungeni mkono waliochaguliwa, hata kama mliwapinga
Mbunge wa zamani wa Simanjiro, mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka (katikati) akizungumza kwenye kijiji cha Naepo Kata ya Naisinyai katika sherehe ya kuvuka rika kwa watoto wa mdau wa maendeleo Siria Makuruza kwa kuiasa jamii kutoa ushirikiano kwa viongozi walichaguliwa. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Jamii imetakiwa kuwaunga mkono viongozi waliochaguliwa wakiwemo madiwani na mbunge hata kawa hawakuwa chaguo lao kwani ni viongozi wanaowaongoza hivi sasa. Simanjiro.
Hospitali kongwe ya Dareda Mission yapatiwa mifuko 100 ya saruji
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Regina Ndege (katikati) wakati akikabidhi mifuko 100 ya saruji kwa mkurugenzi wa hospitali ya Dareda Mission ya wilayani Babati mkoani Manyara, Padri Peter Salaho.
Mwalimu mkuu, mjumbe wa kamati ya shule wahukumiwa kwa rushwa
Muktasari: Washtakiwa hao wawili wametiwa hatiani kwa uhujumu uchumi baada ya kutumia Sh800,000 mali ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara. Simanjiro. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kitwai A iliyopo Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Simon Mhando na mjumbe wa kamati ya shule hiyo, Petro Orkel, wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi sita na kulipa Sh800,000 walizozitumia bila uhalali.
RC Manyara awataka madiwani Simanjiro kuchangamkia miradi ya hewa ya ukaa
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro. Picha na Joseph Lyimo. Muktasari: Miradi ya hewa ukaa pamoja na kusimamia utunzaji wa mazingira inatoa fedha za miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule. Simanjiro.
Adaiwa kujinyonga kwa shati, kisa mgogoro wa kifamilia
Muktasari: Mkazi huyo wa Kijiji cha Kiru Six wilayani Babati mkoani Manyara, Sokoya Aako (60) amefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga kwa kutumia shati kutokana na mgogoro wa kifamilia. Babati. Mkazi wa Kijiji cha Kiru Six wilayani Babati mkoani Manyara, Sokoya Aako (60) amefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga kwa kutumia shati kutokana na mgogoro wa kifamilia.
Mtendaji Simanjiro miaka 20 jela kwa ubadhirifu wa Sh3.3 milioni
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbless Mollel, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu na wizi wa Sh3.3 milioni. Muktasari: Ofisa mtendaji huyo wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara alitoa katika akaunti ya kijiji Sh4.3 milioni na kufanyia ubadhirifu wa Sh3.3 milioni. Simanjiro.
Mchanga lori moja wanunuliwa kwa Sh1.2 milioni Manyara, Takukuru yashtuka
Vijana wakipakia mchanga kwenye lori. Picha na Mtandao Muktasari: Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imeingilia kati na kuokoa fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na vyoo vya shule ya msingi Namalulu wilayani Simanjiro Babati.
Takukuru Manyara waingilia kati mchanga kununuliwa Sh1.2 milioni llori moja
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, Anthony Gang’olo, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa taasisi hiyo. Muktasari: Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Manyara imeingilia kati na kuokoa fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa matatu na vyoo vya shule ya msingi Namalulu wilayani Simanjiro Babati.
Manyara kukusanya Sh886 milioni kuokoa watoto njiti
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga (katikati), akizungumza kuhusu maandalizi ya mbio za riadha za Manyara Tanzanite Marathon 2026 zitakazolenga kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa jengo la mama na mtoto pamoja na watoto njiti. Kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa (RAS), Mariam Muhaji, na kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk Andrew Method.
Wazazi walalamika kuchangishwa fedha kununua picha ya Rais, bendera ya Taifa
Mkazi wa kijiji cha Mogitu wilayani Hanang’ mkoani Manyara, James Hando (kulia), akizungumza na Mbunge wa Hanang’, Asia Halamga, wakati wa ziara yake kijijini humo. Picha na Joseph Lyimo. Muktasari: Malalamiko ya wazazi hao yametokana na kutakiwa kuchangia Sh3,200 kwa kila mwanafunzi anayesoma kwenye shule hiyo mpya kwa ajili ya kununua picha ya Rais na bendera ya Taifa ili ziwekwe kwenye ofisi ya Mkuu wa shule. Hanang.
Simanjiro yajipanga kukabili mabadiliko ya tabianchi
Mratibu wa mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Joseph Shamba, akiwasilisha taarifa katika kikao cha baraza la madiwani kuhusu faida za mradi wa Scale kwa jamii ya eneo hilo. Picha na Joseph Lyimo. Muktasari: Mradi huo wa kukabiliana na kuhimili mabadiliko ya tabianchi unatekelezwa katika mikoa 21 Tanzania bara halmashauri 54 na Zanzibar mikoa mitano halmashauri 11 Simanjiro.
Mabroka 100 washiriki mnada madini ya vito Tanzanite
Jengo la mnada wa soko la madini ya vito Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Muktasari: Wafanyabiashara hao wadogo 100 wanashiriki mnada huo wa madini ya vito ya Tanzanite kwenye mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa njia ya mtandao. Mirerani. Wafanyabiashara wadogo 100 wa madini wenye leseni (mabroka) wameshiriki kwenye mnada wa madini ya vito Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara.
Mirerani: 100 licensed brokers join Tanzanite gemstone auction in transparent digital bidding process
Mirerani, Simanjiro. One hundred licensed small-scale gemstone traders (brokers) have taken part in the Tanzanite gemstone auction held in Mirerani, a small mining town in Simanjiro District, Manyara Region. Speaking on Wednesday, May 13, 2026, Mirerani Resident Mining Officer (RMO) George Kaseza said the 100 traders had registered to participate in the auction, which is being conducted at the Mirerani gemstone market building.
Mashamba ya bangi yateketezwa Kiteto
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Remidius Mwema akiwa na kamati ya usalama ya wilaya hiyo katika opresheni teketeza dawa za kulevya aina ya bangi. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Mashamba hayo ya bangi zilizooteshwa kwenye mazao ya mahindi katika kijiji cha Mbigili kata ya Partimbo wilayani Kiteto mkoani Manyara, yameteketezwa kwa moto tukio lililoongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Remidius Mwema. Kiteto.
DC atoa onyo kwa wanaovamia wawekezaji kwa mishale Babati
Mkuu wa wilaya ya Babati mkoani Manyara, Emmanuela Kaganda, akizungumza wakati akisuluhisha mgogoro wa ardhi wa baadhi ya wakazi wa vijiji vya Kiru, Masware na Malangi na mwekezaji wa Dudumela plantation. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Baadhi ya wakazi wa vijiji vya Kiru, Masware na Malangi, wilayani Babati mkoani Manyara, wamevamia na kulima na kujenga kwenye eneo la shamba la mwekezaji wa kampuni ya Dudumela plantation. Babati.
Wananchi wafugaji kunufaika na mashine ya kusaga
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Kaleya Mollel (watatu kushoto) akizindua mradi wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kwenye kitongoji cha Noomunyi, kata ya Loiborsiret. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Mashine hiyo iliyonunuliwa na mdau wa maendeleo itawanufaisha wananchi wa jamii ya wafugaji wa kitongoji cha Noomunyi. Simanjiro.
Bilionea Laizer aipatia shule ya Makiba mashine ya kudurufu
Mchimbaji maafuru wa madini ya Tanzanite Bilionea Saniniu Laizer akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 30 na mahafali ya 15 ya kidato cha sita ya shule ya sekondari Makiba ya wilayani Arumeru mkoani Arusha. Picha na Joseph Lyimo Muktasari: Shule ya Sekondari Makiba ya wilayani Arumeru mkoani Arusha ilianzishwa miaka 30 iliyopita ikitumia majengo yaliyokuwa kiwanda cha katani kilichojengwaenzi za ukoloni Arumeru.
Zahanati hii Mirerani ni mkombozi
Sehemu ya machimbo ya madini ya Tanzanite iliyopo Mirerani, Arusha. Picha na Mtandao Katika mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, kuna harakati za kiuchumi zinazosisimua Taifa. Eneo hili ni kitovu cha madini ya kipekee duniani ya Tanzanite. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya watu 12,000 huingia na kutoka kila siku katika kuta za machimbo haya, huku wengine 5,000 wakiwa ni wakazi wa kudumu ndani ya eneo hilo la uzalishaji.
Mtendaji wa kijiji kizimbani kwa tuhuma za rushwa
Muktasari: Gidang'adi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Hanang na kusomewa shtaka la uhujumu uchumi Aprili 13, 2026 katika shauri namba 7732/2026. Hanang. Ofisa Mtendaji wa Kijiji (VEO) cha Qutesh kilichopo Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Senesa Gidang’adi amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya, akisomewa shtaka la rushwa. Gidang'adi amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Hanang na kusomewa shtaka la uhujumu uchumi Aprili 13, 2026 katika shauri namba 7732/2026.
Polisi Manyara yawashikilia 19 kwa tuhuma za uhalifu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara kamishna msaidizi mwandamizi, (SACP) Ahmed Makarani Muktasari: Watuhumiwa hao wamekamatwa na polisi katika matukio mbalimbali ya uhalifu katika wilaya tofauti za mkoa wa Manyara. Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewakamata watu 19 kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo ulawiti na kujihusisha na dawa za kulevya, kutokana na operesheni, doria na misako iliyofanyika mwezi uliopita.
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Joseph
Contact Joseph, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack