Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data Maelezo ya picha, Sarah Peter alifanikiwa kutoroka licha ya mmoja wa washambuliaji kumpiga kichwani Maelezo kuhusu taarifa Author, Madina Maishanu Nafasi, BBC Africa, Akiripoti kutoka, Kurmin Wali Dakika 16 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 4 Sarah Peter anauguza jeraha la kichwa alilopata baada ya kupigwa kichwani na mtutu wa bunduki.