Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Salma Mkalibala
DC Newala aagiza kutatuliwa changamoto ya maji wodi ya wazazi
Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mussa Sima akiwa Hospitali ya Wilaya ya Newala Newala. Mkuu wa Wilaya ya Newala Mussa Sima ameuagiza uongozi wa hospitali ya wilaya hiyo kuhakikisha unatatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika wodi ya wazazi na watoto, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kuathiri mazingira ya utoaji wa huduma za afya, usafi na usalama wa wagonjwa.
Wakulima walia na soko la bidhaa za kilimo hai
Muktasari: Licha ya ubora na faida za kiafya za bidhaa za kilimo hai, wakulima na wachakataji wanakabiliwa na changamoto ya kupata soko kutokana na wanunuzi kuona bei zake kubwa. Mtwara. Licha ya kuwekeza muda, nguvu na gharama katika uzalishaji na uchakataji wa bidhaa za kilimo hai, wakulima na wafanyabiashara wa wanadai kukabiliwa na changamoto ya kupata masoko ya uhakika kutokana na wanunuzi kutoridhishwa na bei zake.
Dereva anayedaiwa kusababisha vifo vya watu watatu Mtwara atiwa mbaroni
Muktasari: Dereva huyo anadaiwa kutoroka eneo la tukio baada ya ajali hiyo iliyotokea Novemba 3, 2026, majira ya saa tatu asubuhi katika barabara ya Mtwara–Lindi. Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemkamata Ibrahim Joseph (32), dereva wa lori linalodaiwa kusababisha ajali iliyoua watu watatu na kujeruhi wengine sita katika eneo la Magomeni, Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Police arrest lorry driver after Mtwara accident kills three
Mtwara. Police have arrested Ibrahim Joseph, 32, the driver of a lorry allegedly involved in an accident that killed three people and injured six others in Magomeni, Mtwara-Mikindani Municipality. The driver is alleged to have fled the scene after the accident, which occurred at around 9 am on Tuesday, November 3, 2026, along the Mtwara–Lindi road.
Watatu wafariki dunia katika ajali ya lori, bajaji na bodaboda Mtwara
Muktasari: Watu watatu wamefariki dunia, huku wengine sita wakijeruhiwa baada ya lori kugongana na bajaji pamoja na bodaboda katika eneo la Magomeni Kanisani, Manispaa ya Mtwara-Mikindani. Mtwara. Watu watatu wamefariki dunia, huku wengine sita wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori, bajaji na Bodaboda. Ajali hiyo imetokea leo, Novemba 3, 2026, asubuhi katika eneo la Magomeni Kanisani, Manispaa ya Mtwara-Mikindani, mkoani Mtwara.
Three killed in lorry, bajaji and bodaboda crash in Mtwara
Mtwara. Three people have died, and six others injured in an accident involving a lorry, a bajaji and a bodaboda. The accident occurred on the morning of Tuesday, November 3, 2026, in the Magomeni Kanisani area of Mtwara-Mikindani Municipality, Mtwara Region. Eyewitnesses said the lorry driver veered off the road before losing control and moved into the opposite lane, where it hit two other vehicles.
Sh70 milioni kuinua wakulima wa mwani Mtwara
Wakazi wa Mtwara wakiandaa zao la mwani katika fukwe za bahari ya hindi mkoani humo. Picha Maktaba Muktasari: Vikundi vya wajasiriamali wa kilimo cha mwani katika Kata ya Msangamkuu, mkoani Mtwara vimepatiwa Sh70 milioni kwa ajili ya kuboresha kilimo hicho na kuongeza uzalishaji. Mtwara.
Mtwara waeleza matumaini ongezeko la gesi asilia
Kituo cha kuchakata gesi asilia -Madimba, Mtwara Muktasari: Ugunduzi huo mpya uliobainika Kusini mwa Tanzania utaongeza kiwango cha hifadhi ya gesi asilia kufikia zaidi ya futi za ujazo trilioni 57.76. Kabla ya ugunduzi huo mpya, Tanzania ilikuwa na hifadhi ya gesi asilia futi za ujazo wa trilioni 57.54. Mtwara.
Tani 50,548 za korosho zauzwa wiki ya kwanza ya minada mikoa ya kusini
Wakulima wa zao la korosho mkoani Lindi wakisubiri kupima korosho zao kwenye chama cha msingi cha Kitumiki, hivi karibuni. Muktasari: Korosho ghafi tani 50,548 zenye thamani ya zaidi ya Sh164.6 bilioni zimeuzwa katika minada mitano iliyofanyika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma katika wiki ya kwanza ya msimu wa 2026/2027. Mtwara.
Bima ya Afya kwa Wote II kulenga kaya 625,000
Muktasari: Mchengerwa ataka usajili ufike hadi kwa wananchi wa kipato cha chini, atangaza mabalozi wa bima kila wilaya, akisisitiza afya ni haki na si hisani. Mtwara. Serikali imewataka watumishi wa afya, viongozi wa mikoa na wilaya pamoja na mamlaka za serikali za mitaa kuhakikisha mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unawafikia wananchi wote, ili Mtanzania yeyote asikose huduma za matibabu kwa sababu ya ukosefu wa fedha.
Wakazi pembezoni mwa Mto Ruvuma watahadharishwa mvua za El-Nino
Muktasari: Wananchi wanaoishi pembezoni na Mto Ruvuma, kijiji na kata ya Kilambo, Mtwara, watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya mafuriko yanayoweza kusababishwa na mvua za El-Nino, baada ya maeneo hayo kukumbwa na athari za mafuriko yaliyopita, ikiwemo uharibifu wa mashamba na makazi. Mtwara.
Makonde yaomba kupandisha bei ya maji hadi Sh3,200, wadau wapinga
Mkurugenzi wa Mamkala ya Maji ya Makonde, Mhandisi Francis Bwire akiwasilisha mapendekezo ya kuongeza bei ya maji kwa wadau. Picha na Salma Mkalibala Muktasari: Lengo la kutaka kuongeza bei hizo ni gharama za uendeshaji, zikiwemo ankara za umeme, ukarabati wa miundombinu chakavu pamoja na ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali za Serikali. Mtwara.
Wadau wa korosho wataka miongozo ya msimu mapema, walalamikia kangomba
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Donald Msengi (katikati) akiongoza kikao cha wadau wa korosho kuhusu maandalizi ya msimu wa korosho wa 2026/27, juzi. Picha na Salma Mkalibala. Muktasari: Wadau hao wameeleza kuwa uwepo wa soko la awali unachangia kufanyika kwa biashara ya kangomba, hali inayozinyima halmashauri mapato. Mtwara.
Wabunge Mtwara waibana TPDC kasi ndogo ya kuunganisha gesi majumbani
Muktasari: Wabunge wa Mkoa wa Mtwara wameikosoa TPDC kwa kasi ndogo ya kuwaunganishia wananchi na taasisi huduma ya gesi asilia, wakisema mkoa huo ambako gesi inazalishwa bado una idadi ndogo ya watu wanaotumia nishati hiyo. Mtwara. Wabunge wa Mkoa wa Mtwara wamelikosoa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa kasi ndogo ya kuwaunganisha wananchi na taasisi na huduma ya gesi asilia, licha ya mkoa huo ndiko nishati hiyo inazalishwa.
Polisi Mtwara yamshikilia mama aliyemchoma moto mtoto wake
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman. Muktasari: Polisi Mtwara wanamshikilia Maria Francis (30) kwa tuhuma za kumchoma moto mtoto wake mwenye umri wa miaka saba mkononi na tumboni, baada ya kukerwa na tabia yake ya kuokota korosho katika mashamba ya majirani. twara.
Vyoo 72 kujengwa shule za Nanyamba, wasichana walengwa
Wanafunzi wa shule ya msingi katika Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara wakiwa katika uzinduzi mradi wa ujenzi wa vyoo uliofanyika Shule ya Msingi Nanyamba B Muktasari: Mradi huo wenye thamani ya zaidi ya Sh300 milioni unatekelezwa katika kata 10 za halmashauri hiyo, ukiwalenga zaidi wasichana kwa kuwawezesha kupata mazingira salama na rafiki ya kujisitiri na kuendelea na masomo, hususan wakati wa hedhi. Mtwara.
Siku 90 familia ikimtafuta mtoto aliyepotea Mtwara
Muktasari: Zaidi ya siku 90 tangu mwanafunzi wa darasa la tatu, Bidhat Salum (10), alipotoweka Juni 15, 2026, familia yake bado haijakata tamaa kumtafuta. Bidhat aliondoka kwenda kuuza maandazi, lakini hakurejea nyumbani hadi sasa. Mtwara.
Mtwara yatajwa kitovu fursa za uwekezaji Kanda ya Kusini
Katibu Tawala Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuzye Muktasari: Zao la korosho imetajwa kuwa na nafasi kubwa katika ujenzi wa viwanda vya kubangua na kulichakata klatika usalishaji wa mafuta, siagi, unga na bidhaa nyingine, achilia ujenzi wa maghala, ufungashaji na usafirishaji. Mtwara.
Tani 139 za korosho chafu zakamatwa Mtwara, wanne washikiliwa
Mwonekano wa baadhi ya korosho zilizokamatwa. Muktasari: Tani 139 za korosho zinazodaiwa kuwa chini ya viwango vya ubora zimekamatwa Nanyamba, Mtwara na watu wanne wamashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuhusika na korosho hizo. Mtwara. Serikali imekamata tani 139 za korosho mkoani Mtwara zinazodaiwa kuwa chini ya viwango vya ubora katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba, huku watu wanne wakikamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi.
Serikali yatenga Sh10 bilioni kujenga meli ya mizigo, abiria Kusini
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile (wa pili kulia) akiwa pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, wakiongozwa na mwenyekiti, Selemani Kakoso (wa tatu kulia), kukagua miradi ya maendeleo. Picha na Salma Mkalibala. Muktasari: Meli hiyo inatarajiwa kutoa suluhisho la changamoto ya usafirishaji wa mizigo na abiria kati ya Mtwara, Dar es Salaam, Zanzibar, Mombasa nchini Kenya na Visiwa vya Comoro. Mtwara.
Bodi ya Korosho ‘kuwashughulikia’ wabanguaji wanaokiuka utaratibu
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Francis Alfred wakati akizungumza na Mwananchi. Muktasari: Mkurugenzi Mkuu wa CBT, Francis Alfred amesema baadhi ya kampuni zimekuwa zikichukua korosho za wakulima bila kufanya malipo kwa wakati, kinyume na utaratibu unaowataka wanunuzi kulipa fedha za korosho pamoja na tozo husika. Mtwara.
Kaya 100 zaiangukia Serikali kukwepa bomoabomoa Mtwara
Pichani ni watumishi na Kamati ya ulinzi na usalama ilipofika maeneo hayo kwa ajili ya kuweka alama za kuwataka wakazi hao kuondoka Muktasari: Wananchi waliojenga katika eneo la Litingi, Mtaa wa Mnazi Mmoja wanapaswa kupisha mradi wa Serikali wa ujenzi wa Hospitali ya Saratani na Tiba Mionzi kwa ajili ya Kanda ya Kusini. Mtwara.
TANCCOOP yajifunza KCJE kupunguza changamoto ya pembejeo kwa wakulima
Picha ya pamoja ya viongozi wa TANCCOOPS na KCJE baada ya ziara ya kujifunza mifumo ya ushirika na usambazaji wa pembejeo mkoani Mtwara. Muktasari: Yabaini upatikanaji wa pembejeo kwa wakati ni miongoni mwa mambo muhimu katika kuongeza uzalishaji wa pamba, ambao bado unakabiliwa na changamoto mbalimbali. Mtwara.
TBS yatahadharisha matumizi ya mbogamboga zilizopuliziwa dawa
Muktasari: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wakulima kuzingatia viwango sahihi vya dawa za kilimo na muda wa kusubiri kabla ya kuvuna mazao, likisema matumizi yasiyo sahihi yanaweza kuacha mabaki ya dawa na kuhatarisha afya za walaji. Mtwara.
Siri ya mimba ya watoto wengi
Muktasari: Kuzaa watoto watatu, wanne au hata watano kwa ujauzito mmoja ni hali adimu inayoweza kusababishwa na dawa za kuongeza uzazi, teknolojia za kusaidia kupata ujauzito, umri wa mama na wakati mwingine kutokea kwa mimba ya kawaida Mtwara/Dar. Dawa za kuongeza uzazi, matibabu ya Upandikizaji Mimba (IVF), umri wa mama, na wakati mwingine ujauzito unaotokea kiasili ni miongoni mwa sababu zinazoweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kupata watoto pacha, watatu, wanne au hata watano.
Tanzania’s Mtwara couple celebrates birth of quintuplets, seeks support
Mtwara. A resident of Mangamba Street in Mtwara Mikindani Municipality, Ms Furaha Chilambo,32, is recovering well after giving birth to quintuplets, four boys and one girl. Ms Chilambo delivered the babies via caesarean section at the Southern Zone Referral Hospital in Mtwara on Friday, August 7, 2026. Both mother and newborns remain under specialised medical observation.
Ndejembi azindua njia mpya ya umeme Newala
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 33 kutoka Masasi hadi Newala. Muktasari: Mradi huo ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati ya nishati ili kuhakikisha wananchi wengi zaidi wanapata huduma ya umeme. Newala.
Anti-drugs authority arrests 117 narcotics suspects
Mtwara. In efforts to strengthen the fight against illicit drugs in the country, the Southern Zone of the Drug Control and Enforcement Authority (DCEA) has seized 1,776 kilogrammes of cannabis and 250 grammes of heroin during various operations conducted in Mtwara, Lindi and Ruvuma regions. The operations, carried out between May 2025 and May 2026 in collaboration with security and defence agencies, also led to the destruction of 156 hectares of cannabis farms.
Wanne mbaroni Mtwara kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao
Watuhumiwa wanne wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya utapeli na uhalifu wa kimtandao katika mikoa 11 nchini. Muktasari: Watuhumiwa wanne wanaodaiwa kuendesha mtandao wa utapeli wa kimtandao katika mikoa 11 nchini wamekamatwa mkoani Mtwara, wakiwa na simu 10 na laini zisizosaji-liwa kwa majina yao halisi Mtwara.
Four cybercrime suspects arrested in Tanzania’s Mtwara city linked to fraud network across 11 regions
Mtwara. Police in Mtwara Region, through the Cybercrime Unit, have arrested four suspects accused of involvement in fraud and other cyber offences across 11 regions of the country. Mtwara Regional Police Commander Issa Suleiman told journalists on Saturday, June 4, 2026, that the suspects had been entering Mtwara at different times, where they allegedly committed fraud targeting financial service providers before relocating to other parts of the country.
Sintofahamu mtoto atoweka katika mazingira tatanishi
Muktasari: Kwa siku 20 sasa, familia yake inapitia kipindi kigumu cha majonzi na sintofahamu. Kila siku inayopita huongeza maswali kuhusu hatima ya mtoto huyo. Mtwara. Hofu, wasiwasi na maswali yasiyo na majibu vimetanda katika Mtaa wa Pachoto A, Kata ya Naliendele, Manispaa ya Mtwara Mikindani, kutokana na kupotea kwa mtoto, Bidhat Salumu (10).
Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kusafirisha bangi
Muktasari: Said Nayopa (30), mkazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukiri makosa mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi katika Mahakama ya Wilaya ya Mtwara. Mtwara. Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Said Nayopa (30), mkazi wa Kijiji cha Nambunga, Halmashauri ya Mji wa Nanyamba baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi.
Mwili wa Moreen wasafirishwa Chato kwa mazishi
Muktasari: Mwili wa mtoto Moreen Nyamajeje (9), mwanafunzi wa darasa la tatu aliyedaiwa kunyongwa hadi kufa na watu wasiojulikana Mtwara, umesafirishwa kwenda Wilaya ya Chato mkoani Geita kwa ajili ya mazishi, huku familia yake ikiondoka Mtwara na wakazi wa eneo hilo wakiendelea kuishi kwa hofu. Mtwara.
Mwanafunzi adaiwa kuuawa kwa kunyongwa Mtwara Mikindani
Muktasari: Tukio hilo limetokea jana Jumapili Juni 21, 2026 saa 11 jioni na kuacha majonzi kwa familia, ndugu na wakazi wa eneo hilo Mtwara. Simanzi, hofu na maswali mengi vimetanda katika Mtaa wa Lilungu, Kata ya Likombe, Manispaa ya Mtwara Mikindani, kufuatia kifo cha mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi King David, Moreen Nyamajeje (9), anayedaiwa kuuawa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana.
Police investigate death of nine-year-old girl found hanged in Mtwara
Mtwara. A Standard Three pupil, Moreen Nyamajeje, 9, a resident of Lilungu Street in Mtwara Mikindani Municipality, has been found dead after allegedly being hanged by unknown assailants. Mtwara Regional Police Commander (ASCP) Issa Suleiman confirmed the incident, saying it occurred in the evening of Sunday, June 21, 2026. He said the child was playing with two other children when unknown individuals called her and took her away before later dumping her body in a nearby bush.
Tanzania yajipanga kunufaika na gesi trilioni 57.54
Mitambo mbalimbali katika eneo la kiwanda cha kuchakata gesi asilia cha Mnazi Bay, mkoani Mtwara. Muktasari: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Nchini (PURA) imesema Tanzania imegundua futi za ujazo trilioni 57.54 za gesi asilia katika maeneo mbalimbali nchini, huku asilimia 35 ya gesi hiyo ikitumika kuzalisha umeme unaotumika nchini. Mtwara.
Watuhumiwa 12 kesi ya uhujumu uchumi wapindishwa kizimbani Masasi
Muktasari: Watuhumiwa hao baadhi ni viongozi na watendaji wa Kijiji cha Chigugu, wakikabiliwa na makosa 27 ya uhujumu uchumi. Mtwara. Mahakama ya Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara imewapandisha kizimbani watuhumiwa 12 wanaokabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi lenye jumla ya makosa 27 yanayohusiana na rushwa na kughushi nyaraka.
Twelve suspects charged over alleged fraud in Tanzania’s Masasi water pipeline project
Masasi. The Masasi District Court in Mtwara Region has arraigned 12 suspects on 27 counts of economic offences involving allegations of corruption and forgery of documents. The suspects, some of them village leaders and officials from Chigugu Village in Masasi District, appeared before Principal Resident Magistrate Rehema Iddy on Wednesday, June 10, 2026, for charges hearing.
Wananchi Mtwara wamkataa mwekezaji, wahofia kuhatarisha shughuli za uvuvi
Pichani ni Mkuu wa wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wakazi wa vijiji vinavyounda kata ya Nalingu, wilayani humo. Muktasari: Wakazi wa vijiji vya Mnazi, Milamba na Nalingu wilayani Mtwara wameibuka kupinga uwekezaji wa kilimo cha mwani unaodaiwa kufanywa na mwekezaji mwenye asili ya China, wakidai kutoshirikishwa na kuhofia athari kwa shughuli za uvuvi. Mtwara.
Mtwara DC halts controversial seaweed project
Mtwara District Commissioner Abdallah Mwaipaya speaks on Thursday, May 28, 2026, during a public meeting with residents of villages in Nalingu Ward, Mtwara District. PHOTO | SALMA MKALIBALA Mtwara. An atmosphere of fear and uncertainty has gripped Mnazi, Milamba, and Nalingu villages in Nalingu Ward, Mtwara District, after the emergence of a Chinese investor expected to begin seaweed farming in the area.
Wanne wafariki dunia Masasi ajali ya gari, pikipiki
Muktasari: Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari kugongana uso kwa uso na pikipiki kisha kuwagonga watembea kwa miguu katika eneo la Rest Camp barabara kuu ya Masasi–Tunduru mkoani Mtwara. Masasi. Watu wanne wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser kugongana uso kwa uso na pikipiki iliyokuwa imebeba abiria, kisha kuwagonga watembea kwa miguu wawili waliokuwa pembezoni mwa barabara.
Four die as driver flees Masasi–Tunduru highway crash
Masasi. Four people have died in a road accident after a vehicle collided head-on with a motorcycle and then struck pedestrians along the Masasi–Tunduru highway in Mtwara Region, with the driver fleeing the scene. The accident occurred on Saturday, May 23, 2026, at around 10 pm at the Rest Camp area, involving a Toyota Land Cruiser, driven by an unidentified motorist.
DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambama Dawa za Kulevya Tanzania Aretas Lyimo, wakati akiongoza zoezi la uteketezaji wa dawa za Kulevya aina ya Heroini kilo 504.36 mkoani Mtwara Muktasari: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, imeteketeza kilo 504.36 za dawa za kulevya aina ya heroini zilizokamatwa kutoka kwa raia saba wa Iran katika ukanda wa Bahari ya Hindi. Mtwara.
DCEA yateketeza kilo 504 za heroini Mtwara
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambama Dawa za Kulevya Tanzania Aretas Lyimo, wakati akiongoza zoezi la uteketezaji wa dawa za Kulevya aina ya Heroini kilo 504.36 mkoani Mtwara Muktasari: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, imeteketeza kilo 504.36 za dawa za kulevya aina ya heroini zilizokamatwa kutoka kwa raia saba wa Iran katika ukanda wa Bahari ya Hindi. Mtwara.
Iranian national jailed 30 years for drug trafficking in Indian Ocean
Mtwara. The High Court of Tanzania in Mtwara Sub-Registry has sentenced an Iranian national, Mr Jan Mohamed Miran (51), to 30 years in prison after being found guilty of trafficking narcotics weighing 859.26 kilogrammes seized in the Indian Ocean. The judgment was delivered on Thursday, May 21, 2026, by the High Court Principal Judge, Sylvester Kainda, who said evidence presented in court proved beyond reasonable doubt that the accused was part of a drug trafficking network.
Takukuru Mtwara yaokoa Sh87 milioni, wakulima walipwa
Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara, Mwanakombo Rajabu, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa Ofisi za Takukuru mkoani humo. Muktasari: Zaidi ya Sh87.3 milioni zilizokuwa katika hatari ya kupotea zimeokolewa na Takukuru Mkoa wa Mtwara baada ya taasisi hiyo kuingilia kati ucheleweshaji wa malipo ya wakulima, ubadhirifu wa fedha na kasoro katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mtwara.
Wanafunzi waiomba TPDC kuwapatia elimu ya gesi asilia kwa vitendo
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Wasichana ya Mtwara wakishiriki jukwaa la mafuta na gesi Muktasari: Wanafunzi wanaoshiriki mjukwaa ya sekta ya mafuta na gesi mkoani Mtwara, wameiomba TPDC kuwapatia elimu ya masuala ya gesi asilia kwa vitendo, ili kujifunza kwa urahisi na kuongeza uelewa wao juu ya matumizi na umuhimu wa rasilimali hiyo nchini. Mtwara.
Over 500,000 farmers to benefit from subsidised inputs in 2026/27 cashew season
Mtwara. A total of 549,936 cashew farmers from Mtwara, Lindi, Ruvuma, Coast, and Tanga regions are expected to benefit from subsidised inputs provided free of charge by the government for the 2026/27 cashew season. The inputs include 51,000 tonnes of sulphur powder and six million litres of liquid pesticides, a move aimed at increasing productivity, raising output, and boosting farmers’ incomes.
Mamcu yajitosa usafirishaji wa mizigo, yazindua mradi wa Sh1.2 bilioni
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya (wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa ufunguo Mwenyekiti wa Chama cha MAMCU, Azamu Julajula. Muktasari: Mamcu inaundwa na vyama vya msingi 210 kutoka wilaya za Mtwara, Masasi na Nanyumbu, ambavyo vinatarajiwa kunufaika moja kwa moja na mradi huo, hususan katika kupunguza gharama za usafirishaji ambazo hapo awali zilikuwa kubwa na wakati mwingine kukwamishwa na uhaba wa magari. Mtwara.
Wabanguaji wa korosho watoa kilio chao
Baadhi ya wananchi wakiwa wanabanguaji wa korosho. Picha na Maktaba Muktasari: Waiomba Serikali kuboresha mazingira ya kazi ili kukuza sekta ya ubanguaji na kuongeza thamani ya zao la korosho. Wameeleza changamoto za ukosefu wa teknolojia za kisasa, mitaji midogo, ucheleweshaji wa vibali, na changamoto katika soko la awali kuwa vikwazo vikuu vinavyokwamisha maendeleo ya sekta hiyo.
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Salma
Contact Salma, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack