Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data Maelezo ya picha, Mirembe Tracy anasema alitatizika kulipa kodi ya nyumba wakati intaneti ilipozimwa Maelezo kuhusu taarifa Author, Sammy Awami Nafasi, BBC Africa, Akiripoti kutoka, Kampala Dakika 13 zilizopita Muda wa kusoma: Dakika 3 Wakala wa fedha kwa simu Mirembe Tracy analalamika kwamba biashara yake katika mji mkuu wa Uganda wenye shughuli nyingi Kampala ililemazwa wakati serikali ilipofunga mtandao wakati wa uchaguzi mkuu uliokuwa na...