Is this you? As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.
Claim your profile
Articles by Seif Jumanne
Wakulima 400,000 Nyanda za Juu Kusini kunufaika na biashara ya hewa ukaa
Mkuu wa wilaya ya Njombe Juma Sweda akizungumza katika mkutano huo wa wadau wa hewa ukaa uliofanyika mkoani Njombe. Muktasari: Mradi huo unatarajiwa kutekelezwa katika mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Ruvuma, ukiwa na lengo la kuwawezesha wakulima kuongeza kipato kupitia shughuli zinazochangia kupunguza hewa ukaa na kuhifadhi mazingira. Njombe.
Wanawake wataja sababu za kupungua kwa utii ndani ya ndoa
Baadhi ya wanawake mjini Makambako wakiwa katika tamasha maalumu la wanawake na wanaume lililofanyika leo Jumanne, Oktoba 20, 2026, katika Kanisa la KKKT Usharika wa Magegele, Makambako, Njombe. Muktasari: Wanawake wa KKKT Usharika wa Magegele, Makambako, wamesema baadhi ya wanaume kushindwa kutimiza majukumu ya familia na kufanya usaliti wa kimapenzi ni miongoni mwa sababu zinazochangia kupungua kwa utii ndani ya ndoa. Njombe.
Wananchi Makete wajenga daraja kwa nguvu zao
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ikonda, Wilaya ya Makete, mkoani Njombe wakishiriki ujenzi wa daraja ili kurahisisha mawasiliano kutoka sehemu moja kuelekea nyingine. Muktasari: Wananchi hao wameanza kujenga daraja imara kwa kutumia makalavati baada ya kuondoa daraja la miti walilokuwa wakilitumia awali, hatua inayolenga kurahisisha upitaji wa magari na kupunguza gharama za usafirishaji. Njombe.
Watoto wenye mahitaji maalum wahitaji upendo, fursa sawa
Nabii Nicolaus Suguye, akizungumza na moja ya wanafunzi wenye uhitaji maalum katika shule ya msingi Kibena kabla ya kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika shule hiyo. Muktasari: Wito huo umeenda sambamba na msaada wa Sh2 milioni kwa ajili ya ununuzi wa viti mwendo kwa wanafunzi wenye ulemavu wa kutembea, huku Shule ya Msingi Kibena ikieleza mahitaji mengine yanayowakabili wanafunzi hao. Njombe.
Mwanaume adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa unyumba
Mwili wa marehemu Damas Mgaya ukiwa umebebwa na baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kambarage uliopo halmashauri ya mji wa Njombe. Muktasari: Inaelezwa kuwa marehemu alikutwa akiwa amejinyonga kwa kamba iliyokuwa imefungwa kwenye nondo ya dirisha ndani ya chumba chake. Njombe. Damas Mgaya (38), mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga ndani ya chumba chake kwa kutumia kamba ya kiatu.
Watuhumiwa wa mauaji wakamtwa Njombe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, wakati akizungumza na waandishi wa habarI. Muktasari: Watuhumiwa hao walikuwa wakitafutwa na polisi kufuatia tukio hilo la mauaji, ambapo wanadaiwa kutekeleza uhalifu huo na kukimbia. Njombe. Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili, Petro Mbamange (34) na Maiko Mrisho (52), kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Peter Musa Mbunduzi (55), yaliyotokea Septemba 1, 2026, katika Kijiji cha Malangali, Wilaya ya Wanging’ombe.
Makambako waomba madaktari bingwa wa kudumu
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Juma Sweda akiwa katika picha ya pamoja na madaktari bingwa kutoka hospitali za Aga Khan iliyopo Dar es salaam na Rufaa mkoani Njombe. Muktasari: Wananchi wasema kukosekana kwa wataalamu hospitalini kunawaongezea gharama za matibabu na usafiri wanapolazimika kwenda Njombe na Mbeya kutafuta huduma. Njombe.
Wazazi watakiwa kutowatelekeza watoto wanaopata ujauzito
Mwenyekiti wa Kamati ya Kituo cha Huduma ya Mtoto na Kijana Tanzania 1222, KKKT Usharika wa Mtwango mkoani Njombe, Mwalimu Ester Joel, akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kanisani hapo. Muktasari: Wazazi wametakiwa kuwaunga mkono watoto wa kike wanaopata ujauzito wakiwa na umri mdogo kwa kuwawezesha kurejea shuleni au kupata mafunzo ya ufundi ili wajitegemee kiuchumi na kutimiza ndoto zao. Njombe.
Wakazi 7,500 Ludewa kunufaika na Kituo cha Afya Shaurimoyo
Kituo cha Afya Shaurimoyo kinachotarajiwa kutoa huduma kwa zaidi ya wananchi 7,000 wilayani Ludewa mkoani Njombe. Muktasari: Tayari ujenzi wa kituo hicho umeanza, huku wananchi wa vijiji vya Mdilidili, Lugarawa na Shaurimoyo wakiomba Serikali kuharakisha ujenzi huo Njombe. Wakazi 7,500 wa Kata ya Lugarawa iliyopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wanatarajiwa kunufaika na ujenzi wa Kituo cha Afya Shaurimoyo, hivyo kuondokana na changamoto ya kufuata huduma umbali mrefu.
Vifo vya uzazi, watoto wachanga vyapungua Njombe
Muktasari: Vifo vya uzazi vashuka kutoka 27 hadi 13, vya watoto wachanga 308 hadi 210 ndani ya miaka 10 Njombe. Vifo vitokanavyo na uzazi mkoani Njombe vimepungua kutoka 27 mwaka 2015 hadi 13 mwaka 2025, huku vifo vya watoto wachanga vikishuka kutoka 308 hadi 210 katika kipindi hicho.
Wananchi walalamikia kutozwa fedha matibabu ya watoto, wazee
Mkazi wa kijiji cha Utilili wilayani Ludewa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji hapo. Muktasari: Wananchi hao wamesema walifahamishwa kwamba watoto walio chini ya miaka mitano wanapaswa kupata huduma za afya bila malipo, lakini kwa sasa wanapofika katika zahanati hiyo huombwa Sh3,000 kwa ajili ya usajili na baadaye kupewa gharama za kununua dawa. Njombe.
Fidia ya Sh3.7 bilioni zalipwa waliopisha ujenzi mradi wa barabara Itoni-Lusitu
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, akizungumza leo Septemba 24, 2026 na wananchi wa Kata ya Mji Mwema iliyopo halmashauri ya mji wa Njombe baada ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili. Muktasari: Wananchi 266 kati ya 290 waliopisha mradi huo wamelipwa fidia yenye thamani ya Sh3.5 bilioni, huku wananchi 24 wakishindwa kulipwa kutokana na migogoro ya kifamilia. Njombe.
Wakulima Ludewa waomba kuuza mahindi yao nje ya nchi
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akizungumza na wakulima waliofika ofisini kwake ili kumuomba wapatiwe vibali kuuza mahindi nje ya nchi. Muktasari: Ombi hilo wamelitoa leo Jumatano, Septemba 23, 2026, walipofika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka iliyopo Halmashauri ya Mji wa Njombe. Njombe.
Mtaka awaonya Njombe kuhusu mvua za El-Nino
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka. Picha na Mtandao Muktasari: Mtaka ametoa tahadhari hiyo leo Jumanne, Septemba 22, 2026, wakati akiongoza kikao cha Kamati ya Dharura ya Maafa kilichofanyika mkoani Njombe. Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya maafa yanayoweza kusababishwa na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha kutokana na hali ya El-Nino.
Nyumbanitu hazina ya historia yavuta vijana
Sehemu ya eneo la msitu wa Nyumbanitu uliopo huko wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe ambapo watu kutoka maeneo tofauti hufika kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu mila na desturi za mwafrika. Muktasari: Msitu huo uliopo Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, kwa miaka mingi umebeba historia inayosimuliwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kuhusu maisha ya watu wa kale na shughuli za kijadi walizokuwa wakifanya. Njombe.
Walinzi wanne mbaroni kwa tuhuma za mauaji Njombe
Muktasari: Joseph Mwenda alikutwa amefariki dunia baada ya kushambuliwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake, kisha kufichwa kichakani. Njombe. Walinzi wanne wa Kampuni ya Qwihaya wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za mauaji ya Joseph Mwenda (33), waliyemtuhumu kuwa ni mwizi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga leo Jumatatu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, Septemba 21, 2026 wakati akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu.
Wawili wafariki dunia, sita wajeruhiwa ajali ya gari Njombe
Muktasari: Hayo yamesemwa leo, Septemba 20, 2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga wakati akizungumza kwa njia ya simu kuhusu ajali hiyo. Njombe. Watu wawili, akiwamo daktari Enhard Mlelwa (57), mkazi wa Kyela mkoani Mbeya na Izya Mlelwa (11), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Makoeo, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea wakati wakielekea msibani, huku watu wengine sita wakijeruhiwa.
Wananchi Njombe wataka udhibiti wa bidhaa bandia
Meneja wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Nyanda za Juu, Rodney Alananga akizungumza katika kikao kazi kilichofanyika Septemba 19, 2026 mkoani Njombe. Muktasari: Wasema Serikali inapaswa kuongeza ukaguzi katika vituo mbalimbali ili kuhakikisha bidhaa zinazoingia sokoni zinakidhi viwango vinavyotakiwa kabla ya kuwafikia watumiaji Njombe.
Njombe residents push for strict market inspections to stop counterfeit goods
Njombe. Citizens and traders in Njombe Region have urged government authorities to step up market surveillance to weed out counterfeit and expired goods posing health risks to consumers. The appeal was made on Saturday, September 19, 2026, during an education campaign conducted by the Tanzania Bureau of Standards (TBS) in the region on combating substandard and expired products.
From feuds to fairness: How Njombe is resolving land and family disputes
Njombe. Land disputes, marriages, and child upbringing challenges continue to plague Njombe Region, prompting the government to sustain its legal aid outreach. The three-day camp at the Old Bus Station in Njombe Town gives citizens a platform to table grievances and seek professional counsel. Speaking on Saturday, September 19, 2026, Ministry of Constitution and Legal Affairs State Attorney Geofrey Mwachayi noted this phase builds upon the Mama Samia Legal Aid initiative.
Migogoro ya ardhi, ndoa, matunzo ya watoto yawakabili wananchi Njombe
Baadhi ya wananchi mkoani Njombe wakipata huduma za msaada wa kisheria katika viwanja vya stendi ya zamani, kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid inayofanyika kwa siku tatu mkoani humo. Njombe. Migogoro ya ardhi, ndoa na changamoto za matunzo ya watoto imeendelea kuwa miongoni mwa kero zinazowakabili wananchi mkoani Njombe, hali iliyosababisha serikali kuendelea kutoa huduma za msaada wa kisheria.
KKK bado changamoto Njombe
Mkuu wa Wilaya ya Makete Kissa Kasongwa akizungumza na walimu wa shule za msingi mkoani Njombe wakati akifunga mafunzo kwa walimu hao yaliyofanyika wilayani Makete mkoani Njombe. Muktasari: Walimu watakiwa kutumia ujuzi kuwasaidia wanafunzi wenye changamoto ya KKK. Njombe. Walimu wa shule za msingi mkoani Njombe wametakiwa kutumia ujuzi walioupata katika mafunzo kubaini na kuwasaidia wanafunzi wenye changamoto ya kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK).
TMA yafafanua ukungu mzito Njombe
Muktasari: Imeelezwa kuwa Njombe ni sehemu ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi, miinuko iliyopo katika maeneo hayo hufanya hali hiyo iwe rahisi kujitokeza, huku katika baadhi ya maeneo mawingu yakigusa ardhi na kusababisha ukungu. Njombe. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe. Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele.
Wakazi 92,000 Njombe kunufaika na mradi wa maji wa miji 28
Wadau wa maji wakikagua mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa huko Lunyanywi halmashauri ya mji wa Njombe na unatajwa kwenda kuhudumia zaidi ya wakazi 92,000. Muktasari: Sh43 bilioni zinatarajiwa kukamilisha mradi huo unaotekelezwa kwa mkopo rahisi kutoka Serikali ya India Njombe. Wananchi 92,000 katika Halmashauri ya Mji wa Njombe wanatarajia kunufaika na mradi wa maji wa miji 28 utakaokamilika Oktoba 2026 huku ukitarajiwa kumaliza adha ya huduma hiyo kwa wananchi wa Njombe mjini.
Tanzania food reserve agency to begin maize procurement in Njombe at Sh450 per kilo
Njombe. The National Food Reserve Agency (NFRA) expects to begin purchasing maize from farmers next week, a move set to provide them with an opportunity to sell their produce through government procurement. NFRA Manager for the Makambako Zone, Mr Revocatus Bisama, disclosed these details on Thursday, September 10, 2026, during a working session held in Ludewa District, Njombe Region.
DC Sweda aitaka Njuwasa kuongeza kasi ya ufungaji mita za kidijitali
Mkuu wa wilaya ya Njombe Juma Sweda akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la ufungaji wa mita za maji za malipo kabla ya matumizi (Prepaid) uliofanyika hapa wilayani Njombe. Muktasari: Asema matumizi ya mita hizo yatawezesha wananchi kulipia huduma kulingana na kiasi cha maji wanachotumia na kuondoa malalamiko ya kuzidishiwa ankara za maji ambayo hawajatumia. Njombe.
Mke mbaroni akituhumiwa kumuua mumewe
Muktasari: Polisi Njombe wamshikilia Betrice Kalawa baada ya mumewe kupigwa kichwani na kitu kizito. Njombe. Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali, Wilaya ya Wanging’ombe, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mumewe, Peter Mbunduzi (55), aliyefariki baada ya kupigwa kichwani kwa kitu kizito.
Wizi wa mifugo watikisa Wanging’ombe
Mkaguzi wa Polisi Kata ya Ilembula, Dankeni Mwakalukwa, akizungumza na wananchi wa Ilembula na Wanging’ombe wakati wa kutoa elimu kuhusu namna ya kukabiliana na wizi wa mifugo wilayani humo. Muktasari: Polisi yasema ndani ya wiki hii ng’ombe sita wameibwa na kuchinjwa kwa chainsaw, nyama ikauzwa katika minada na maeneo mengine. Njombe.
Mbaroni akituhumiwa kumuua baba yake mdogo na mke wake
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya jeshi hilo mkoani hapa. Muktasari: Katika tukio jingine, Jeshi hilo linamshikilia Okoa Julio Ndwenya (48), mkazi wa Kambarage kwa tuhuma za kumuua Mary Okololo (20). Njombe.
Njombe orders holiday classes for 3,001 pupils struggling with basics
Njombe Regional Commissioner Anthony Mtaka officially opens a working session to prepare for the implementation of the "Jifunze Kijiji Changu" project, held in Njombe Region on Tuesday, August 11, 2026. PHOTO | SEIF JUMANNE Njombe. More than 3,000 pupils across councils in Njombe Region, from Standard One to Standard Three, cannot read, write, or perform arithmetic, prompting Regional Commissioner Anthony Mtaka to order special boot camps to teach the children and address the challenge.
Wananchi wanaoingia kwenye hifadhi Wanging’ombe waonywa
Mkuu wa wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, Zakaria Mwansasu. Muktasari: Imeelezwa kuwa kufanya hivyo ni kinyume cha sheria kwa kuwa mipaka ya hifadhi hiyo imewekwa rasmi na inatambulika kisheria. Njombe. Serikali ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imetoa onyo kali kwa wananchi wanaoendelea kukaidi agizo la kutovuka mpaka unaozuia kuingia ndani ya hifadhi ya Pori la Akiba la Mpanga Kipengere kwa ajili ya kufanya shughuli za kibinadamu.
RC Njombe aagiza halmashauri kuwasaidia wabunifu kupata mikopo ili kuwainua kiuchumi
Kijana mbunifu Tony Chaula akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka juu ya shughuli anazozifanya huko Ilembula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe. Muktasari: Agizo hilo amelitoa jana Julai 28, 2026, alipofanya ziara na kuzungumza na kijana mbunifu wa utengenezaji wa mashine mbalimbali ikiwemo za ufundi makenika anayefanya shughuli zake katika kata ya Ilembula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe. Njombe.
Chadema calls for integrity and accountability in leadership push
Njombe. The Opposition party Chadema has called on leaders at all levels to uphold integrity, accountability, and prioritise public interest in the execution of their duties. Speaking at a public rally held in Njombe Town Council on June 21, 2026, Chadema Vice Chairman, John Heche said leaders must be role models by shunning corruption and the abuse of public office, while also respecting the law and ensuring justice for all.
Miili yatelekezwa kando ya viroba vya parachichi Njombe
Muktasari: Miili ya wanaume wawili imekutwa Njombe ikiwa na majeraha makubwa huku viroba vya parachichi vikikutwa pembeni. Tukio hilo limezua maswali mengi kutokana na ongezeko la wizi wa parachichi na madai ya wananchi kujichukulia sheria mkononi. Njombe. Watu wawili wanaokadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 35 na 36 wamekutwa wameuawa katika eneo la Msete, Kata ya Mji Mwema, mkoani Njombe, huku pembeni mwa miili hiyo kukiwa na viroba vinne vya parachichi.
Polisi Njombe yamsaka aliyemjeruhi mpangaji wake, kisa wivu wa mapenzi
Kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga. Muktasari: Shuhuda Happiness Mwinuka alidai mama mwenye nyumba alimuita mpangaji wake nje kuzungumzia tuhuma za uhusiano na mume wake. Njombe. Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamtafuta Leonola Madilo, mkazi wa Mtaa wa Lunyanywi, kwa tuhuma za kumjeruhi mpangaji wake, Yusta Mbilinyi (21), kwa kutumia kitu chenye ncha kali na kisha kutoroka.
Mtaka ataka viongozi wa dini kuihubiria jamii itende mema
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka. Muktasari: Hafla hiyo imefanyika kuwashukuru viongozi wa Kanisa la Waadventist Wasabato Tanzania kwa kutoa huduma ya maombezi pamoja na ile ya matibabu bure kwa wananchi wa mkoa huo. Njombe. Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema viongozi wa dini wana wajibu wa kuihubiria jamii katika kutenda mema ili waweze kuwa na mwisho mzuri watakapoondoka duniani.
Viongozi Jumuiya ya Wafanyabiashara Makambako wabebeshwa mzigo wa kodi
Mwenyekiti wa jumuiya ya wafanyabiashara Makambako Siphaely Msigala akizungumza mara baada ya kuchaguliwa kwa mara nyingine kuiongoza jumuiya hiyo. Muktasari: Viongozi hao wamechaguliwa kuongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka minne. Njombe.
Akutwa amefariki dunia chumbani kwake kwa kukosa hewa
Baadhi ya wananchi wakishiriki msiba wa Nestory Mbilinyi, aliyefariki akiwa nyumbani kwake wilayani Makete, mkoani Njombe. Muktasari: Tukio hilo limeelezwa leo Mei 25, 2026 na Ofisa Tabibu wa Hospitali ya Wilaya ya Makete, Frank Nyato, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari. Makete.
Police detain man accused of killing Kiwe village leader in machete attack
Njombe. Police in Njombe Region are holding a resident of Kiwe village in Mawengi Ward, Ludewa District, Mr Kalisto Haule (34), on suspicion of killing the village executive officer, Mr Peter Ng’ingo (52). The suspect is accused of killing the village executive officer (VEO) by hacking him with a machete following allegations that he was repeatedly fined for selling firewood and charcoal.
Matatani akituhumiwa kumuua mtendaji wa kijiji
Kalisto Haule, kijana anayedaiwa kumuua mtendaji wa kijiji cha Kiwe, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa kuhusiana na tuhuma za mauaji hayo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Olivanus Thomas. Muktasari: Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni hasira za mtuhumiwa kutokana na kutozwa faini mara kwa mara na mtendaji huyo kwa shughuli zake za ukataji miti kwa ajili ya kuni na uchomaji mkaa. Njombe.
Matatani akituhumiwa kumuua mtendaji wa kijiji
Kalisto Haule, kijana anayedaiwa kumuua mtendaji wa kijiji cha Kiwe, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa kuhusiana na tuhuma za mauaji hayo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Olivanus Thomas. Muktasari: Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni hasira za mtuhumiwa kutokana na kutozwa faini mara kwa mara na mtendaji huyo kwa shughuli zake za ukataji miti kwa ajili ya kuni na uchomaji mkaa. Njombe.
Kiongozi mbio za Mwenge ahamasisha utunzaji mazingira Makete
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Wazo Mwang’onda, akikagua mabanda mbalimbali ya maonesho na shughuli za maendeleo wilayani Makete, mkoani Njombe. Muktasari: Wananchi katika Wilaya ya Makete kuhifadhi mazingira kwa kuendelea kupanda miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ukisisitiza kuepuka ukataji wa miti ovyo kwa ajili ya kuni na mkaa. Njombe.
Kiongozi mbio za Mwenge ahamasisha utunzaji mazingira Makete
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Wazo Mwang’onda, akikagua mabanda mbalimbali ya maonesho na shughuli za maendeleo wilayani Makete, mkoani Njombe. Muktasari: Wananchi katika Wilaya ya Makete kuhifadhi mazingira kwa kuendelea kupanda miti ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ukisisitiza kuepuka ukataji wa miti ovyo kwa ajili ya kuni na mkaa. Njombe.
DC awaonya wafanyabiashara Njombe kupandisha bei ya mbolea
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Juma Sweda akizungumza na wafanyabiashara halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe. Muktasari: Asisitiza wafanyabiashara watakaobainika kuuza mbolea nje ya bei elekezi ya ruzuku watachukuliwa hatua za kisheria Njombe. Wafanyabiashara wa pembejeo za kilimo wilayani Njombe wameonywa dhidi ya kupandisha bei ya mbolea kwa kisingizio cha kuongezeka kwa gharama za mafuta, huku Serikali ikisisitiza kuwa tayari imetoa ruzuku ili kuwapa nafuu wakulima.
Mwili wa mtoto aliyepotea wakutwa na majeraha usoni
Kaburi la mtoto Alfa Nyalusi aliyezikwa katika eneo la Kibena, Halmashauri ya Mji wa Njombe, mkoani Njombe. Muktasari: Mtoto Nyalusi, alipotea Mei 12, 2026, lakini mwili wake umekutwa kwenye tabaka la maji ukiwa umefunikwa na miti huko Kibena Halmashauri ya Mji wa Njombe Njombe. Baada ya kutoweka kwa takriban siku sita, Alfa Nyalusi (7), mkazi wa Mtaa wa Kibena mkoani Njombe, amekutwa amefariki dunia shambani eneo la Howard na mwili wake ukiwa na majeraha usoni.
Watumishi halmashauri Wanging'ombe wanusurika kifo kwenye ajali ya gari
Baadhi ya wananchi wakiangalia ajali hiyo iliyotokea maeneo ya kijiji cha Tandala kilichopo wilayani Makete ambapo watumishi 10 kati ya 43 waliokuwepo kwenye basi walijeruhiwa. Muktasari: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akieleza kuwa ilitokea Mei 16, 2026, saa 3:40 asubuhi katika kata ya Tandala wilayani Makete. Njombe.
Wauguzi Ludewa waonya kuomba uhamisho mara kwa mara
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Oscar Simtengu, akizungumza na wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi yaliyofanyika wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Muktasari: Wilaya ya Ludewa imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya watumishi kuhama mara kwa mara, hasa katika kada ya afya, jambo linalochangia upungufu wa watumishi na kuathiri huduma kwa wananchi. Njombe.
DC Ludewa awataka waliolipwa fidia kuondoka maeneo ya mradi
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Oscar Simtengu, akizungumza na wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya Wauguzi yaliyofanyika wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Muktasari: Amesema maeneo yote yamekabidhiwa rasmi kwa mwekezaji ili kuanza utekelezaji wa mradi na kuzuia migogoro kati ya wananchi na wawekezaji. Serikali imesisitiza kuheshimu mipaka ya mradi huo kikamilifu sasa. Njombe.
Dada mbaroni kwa tuhuma za kumuua kaka yake Ludewa
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapa. Muktasari: Tukio hilo la mauaji limetokea Novemba 26, 2025 katika Kijiji cha Lusitu, na mtuhumiwa huyo kutoroka kusikojulikana. Ameendelea kutafutwa hadi alipokamatwa na Jeshi la Polisi. Njombe.
Maofisa habari wahimizwa kuitangaza miradi ya Serikali kwa wananchi
Baadhi ya maofisa habari walioshiriki kikao kazi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka wakati akifunga kikao kazi kilichofanyika mkoani humo. Muktasari: Hatua hiyo inatajwa kusaidia wananchi kupata taarifa sahihi na kujua shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali yao na walinde miradi kwa maendeleo ya Taifa Njombe. Maofisa habari nchini wametakiwa kuitangaza miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ili wananchi waifahamu na kujivunia nayo.
Show More
loading
Actions
Is this you?
As a journalist, you can create a free Muck Rack account to customize your profile, list your contact preferences, and upload a portfolio of your best work.Get in touch with Seif
Contact Seif, search articles and posts on X, monitor coverage, and track replies from one place.
Learn more about Muck Rack