Habari Mseto Karua na Kanjama watoroka ghasia zilipozuka shule ya kijamii ya Gatoto Na KEVIN CHERUIYOT, RICHARD MUNGUTI July 3rd, 2026 Kusoma ni dakika: 2 JARIBIO la kukabidhi umiliki wa Shule ya Msingi ya Jamii ya Gatoto iliyoko Mukuru kwa Reuben kwa wamiliki wake wa kibinafsi lilikwama Alhamisi baada ya umati wenye hasira kuwafurusha maafisa na mawakili waliokuwa wamefika kusimamia zoezi hilo.